Urgent:inahitajika carina ti namba 'c' kwa 7m

Urgent:inahitajika carina ti namba 'c' kwa 7m

Uzazi wa Mpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
1,382
Reaction score
1,232
Kichwa cha habari cha husika, iwe bado mpya,i siwe na tatizo lolote wala mechanical damage ya aina yoyote.
Naomba kuwasilisha tafadhali. Whatsapp 0756402348
 
nakupigia muda mrefu! ngoja niweke vocha....!!
 
Hapa nilipo hamna network zaidi ya ttcl (call 0737218053),so kwa whatsapp inakua rahisi zaidi kwani kuna wireless network.
 
Bado nasubiria picha kwa whatsapp wakuu

CC. MANI,DONALD,OLESAIDIMU,CYBERTEQ
 
Kuna spacio mupya kabisa,No.'C' 7M...kama vipi ni-pm
 
Kwa matumizi yangu, TI ni best zaidi kaka
mkuu ukikosa humu bora uongeze m1 uagize toka Japan..

35jmr2g.jpg
 
Nina VITS CC 990 ya mwaka 2000,mileage km 73000,ipo poa sana, nimeiingiza nchini mwezi uliopita,fully duty paid and registered as CYB.....,inakula lita 1 km 17,hii ni ngoma ngumu kaka,bomba la moshi asubuhi linamwaga matone kuonyesha kuwa injini ipo safi, nataka 8M kaka,kama upo serious nifate inbox tupatane,mzigo wenyewe ni huu hapa http://image-cdn-cf.beforward.jp/large/201403/229294/BF233354_5613c2.jpg
 
Back
Top Bottom