Salaam Wakuu, its my hope everyone and everything is fine.. Tatizo langu wakuu kubwa linalonikabili ni kama ifuatavyo,Natumia Windows 8 Pro kwa pc yangu sasa kuna software ilizingua nikajaribu kui uninstall ikawa inazingua bado nikaifuta manually then nikarestart mashine. Tatizo linakuja baada ya kuwaka nikagundua utofauti mkubwa na mafiles mengi hayaonekani. Then kuna ka notification kanatokea kanasema YOUVE BEEN SIGNED IN WITH A TEMPORARY PROFILE, YOU CANT ACCESS YOUR FILES AND FILES CREATED IN THIS PROFILE WILL BE DELETED WHEN YOU SIGN OUT. TO FIX THIS, SIGN OUT AND TRY SIGNING IN LATER. Nimejaribu kwa kweli kutumia hiyo mbinu imeshindikana, nikajaribu kugoogle baadhi ya methods, kuna article wakanambia ni create new user account af nitransfer files na settings kwa hiyo account but the problem is hata ukicreate a new user bado haonekani kwenye startup screen (ina remain ile account ambayo inazingua, new account is not visible so you cant even switch to different user account). Wakuu, hali hii inanipa headache sababu ya important files na softwares ambazo kwa hii temporary profile hata siwezi kuziaccess kwaio naomba kwa mkuu mwenye utaalamu wa Win8 aweze kunisadia kulitatua tatizo hili.Nashukuru!