Urgent: Format ya uandishi wa talaka inahitajika

Urgent: Format ya uandishi wa talaka inahitajika

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
[emoji121]
Wakuu,

Ni kwa dharura,
Format ya uandishi wa talaka inahitajika HARAKA.

Iwe talaka tatu au hata moja,
Yoyote ile iwekwe hapa.

Ni kwa dharura wakuu.

Ahsanteni.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
 
Atayewatenganisha ni kifo,sasa ww watakaje kubatilisha maandiko matakatifu ??
 
Hahaha senator..skuile pale ferry kwann hukumstua suma g? BTW ungenistua ungekuja kunywa juice nyumba nyeupo uChatoni..
 
Mkuu na Mimi naitafuta sana hii kitu!
 
Talaka ya kwanza wewe sio Mke wangu
Talaka ya pili wewe sio Mke wangu
Talaka ya Tatu wewe sio Mke wangu


APA kama unatoa zote 3,km mbili unaandika sentence 2 km moja unaandika sentence moja mkuu ambayo Mara nyingi ni talaka rejea
 
[emoji121]
Wakuu,

Ni kwa dharura,
Format ya uandishi wa talaka inahitajika HARAKA.

Iwe talaka tatu au hata moja,
Yoyote ile iwekwe hapa.

Ni kwa dharura wakuu.

Ahsanteni.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
Kamuone shekh wako hapo karibu atakusaidia.
 
Mkuu Talaka haipaswi kutolewa endapo wote ama mmoja wenu akiwa na Jaziba hivyo tulizeni Munkari kwanza!!!
 
[emoji121]
Wakuu,

Ni kwa dharura,
Format ya uandishi wa talaka inahitajika HARAKA.

Iwe talaka tatu au hata moja,
Yoyote ile iwekwe hapa.

Ni kwa dharura wakuu.

Ahsanteni.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
Kama anawatoto umvumilie tu! Mpe talaka ya moyoni halafu uendelee kuishi naye! Tufikirie watoto wetu! Wazazi wetu walivumiliana.
 
Ukiona mambo yamefikia hapa ujue hali ni mbaya
 
Talaka sio lazima maandishi ukishatamka Hiyo ni talaka Tosha. Maandishi huo ni ushahidi . Na Huruhusiw kutoa talaka zote kwa pamoja tatu. Na ukumbuke ukishampa talaka Mbili ukimuhitaji inabidi umchumbie upya. Fanya maamuzi yako kwa uangalifu usije ukajuta baadae.
 
Sasa asubuh subuh hii unataka utoe talaka mkuu si usubr hata jion kdg pengne upepo ukabadilika,
 
[emoji121]
Wakuu,

Ni kwa dharura,
Format ya uandishi wa talaka inahitajika HARAKA.

Iwe talaka tatu au hata moja,
Yoyote ile iwekwe hapa.

Ni kwa dharura wakuu.

Ahsanteni.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
Dah!noma sana kama hii format inahitajika kwa madhumuni ya kumwandikia mtu talaka. Hatahivyo kama inahitajika kwa madhumuni hayo naomba kujua yafuatayo:
Anayeandikiwa ana umri gani?anafanya kazi gani ya kujiingizia kipato?ana watoto wangapi na wana umri gani?tunatoa ushauri nasaha kwa watalikiwa. Weka na namba yake hapa
 
Back
Top Bottom