A
Vijijini watu kama hawa hawakosekaniHuu unaitwaga unoko na ushambenga, ukisebengo, upashukuna, hongera sana defilement cases ni rare sana, hujasema ni mwanafunzi au raia wa kitaa, je, vipi kama wewe unamuonea wivu yule Mzee kwa kuozeshwa kigori🤣🤣🤣
Baba mchungaji huna namba ya waziri Gwajima wa jinsia,wanawake, watoto nikupatieBinti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka, yupo nyumbani kwa mchungaji amejificha. Namba ya mchungaji alipo binti ni 0629 518702, mchungaji anaitwa Baba Irene. Huyu binti anahitaji msaada wa haraka sana, aokolewe kutoka katika hili janga.
Viongozi wa kijiji husika hawana msaada katika hili, kwani wao wanaona ni jambo la kawaida, wameshazoea mabinti huko huwa wanaozeshwa kilazima tu, wala si jambo la kushangaza.
NAOMBA SERIKALI IMSAIDIE HUYU BINTI.
Katoe taarifa polisi, Wana dawati la jinsiaBinti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka, yupo nyumbani kwa mchungaji amejificha. Namba ya mchungaji alipo binti ni 0629 518702, mchungaji anaitwa Baba Irene. Huyu binti anahitaji msaada wa haraka sana, aokolewe kutoka katika hili janga.
Viongozi wa kijiji husika hawana msaada katika hili, kwani wao wanaona ni jambo la kawaida, wameshazoea mabinti huko huwa wanaozeshwa kilazima tu, wala si jambo la kushangaza.
NAOMBA SERIKALI IMSAIDIE HUYU BINTI.
SahihiKatoe taarifa polisi, Wana dawati la jinsia
Ahsanteni sana Wadau wa JF kwa taarifa hii. Huu ndiyo ushirikiano wa jamii tunaohitaji. Tunashughulikia. Ahsanteni kwa mawasiliano ya namba ya simu.Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka, yupo nyumbani kwa mchungaji amejificha. Namba ya mchungaji alipo binti ni 0629 518702, mchungaji anaitwa Baba Irene. Huyu binti anahitaji msaada wa haraka sana, aokolewe kutoka katika hili janga.
Viongozi wa kijiji husika hawana msaada katika hili, kwani wao wanaona ni jambo la kawaida, wameshazoea mabinti huko huwa wanaozeshwa kilazima tu, wala si jambo la kushangaza.
NAOMBA SERIKALI IMSAIDIE HUYU BINTI.
Niko hapa tayari, nimepokea, nampigia sasa hivi. Huwa napatikana binafsi kwa ujumbe kupitia simu namba 0765345777 na 0734124191. Pia siku hizi Wizara tumezindua JAMII CALL CENTER siku na saa za kazi simu na. 0734986503 na 026 2160250. Karibuni sana Wadau JF na jamii yote kwa ujumla. Umoja ni nguvu, ukatili wa kijinsia haukubaliki.Baba mchungaji huna namba ya waziri Gwajima wa jinsia,wanawake, watoto nikupatie
Shukran, kesho lazima mkuu wa wilaya ataenda kuwakamata akishirikiana na vyombo vya dolaBinti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka, yupo nyumbani kwa mchungaji amejificha. Namba ya mchungaji alipo binti ni 0629 518702, mchungaji anaitwa Baba Irene. Huyu binti anahitaji msaada wa haraka sana, aokolewe kutoka katika hili janga.
Viongozi wa kijiji husika hawana msaada katika hili, kwani wao wanaona ni jambo la kawaida, wameshazoea mabinti huko huwa wanaozeshwa kilazima tu, wala si jambo la kushangaza.
NAOMBA SERIKALI IMSAIDIE HUYU BINTI.
Oya mnyiramba kumbe upo humu!!..laeleaniAhsanteni sana Wadau wa JF kwa taarifa hii. Huu ndiyo ushirikiano wa jamii tunaohitaji. Tunashughulikia. Ahsanteni kwa mawasiliano ya namba ya simu.
Safi sanaNiko hapa tayari, nimepokea, nampigia sasa hivi. Huwa napatikana binafsi kwa ujumbe kupitia simu namba 0765345777 na 0734124191. Pia siku hizi Wizara tumezindua JAMII CALL CENTER siku na saa za kazi simu na. 0734986503 na 026 2160250. Karibuni sana Wadau JF na jamii yote kwa ujumla. Umoja ni nguvu, ukatili wa kijinsia haukubaliki.