NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250











Nitatoa zawadi ya Dola 125 kwa Mdada wa Jamii Forums atakae piga picha na kunitumia akiwa amepaka kucha zake rangi ya Bendera ya Taifa la Tanzania au Timu yoyote ya Tanzania mwisho jumatano.Usije shangaa Picha yako tukaitumia kama Tangazo ukaanza kunitafuta kudai haki yako haki yako ni hiyo Dola nitakayo kupa.