Kuna nyakati nyingine mwanamke hata chupi haina mpango kabisa kuvaa. Mimi kuna demu namfahamu huwa tunakutana nae sana Nairo kwa miaka sijawahi ona kavaa kyupi, hata kama kavaa mini sketi, anadai anapea mbili za kuvaa wakati wa mvua nyekudu tu, na ukimuona kavalia nguo zake wala huwezi jua mpaka uwe mtu wake wa karibu, tena ako na mwili wake wa haja kabisa. Kyupi tuachieni sisi wanaume kwaajili ya kuzuia na ku kotrol magobore yanapo shtuka na kuamka.
Oooh zina bleach tayari kwenye nchaOriginal nenda kwenye malls au maduka makubwa.Pia usipende sana kusuka mitindo hizo dreads wacha zitulie zipate nguvu na nywele mpya imee bila kusukwa.Pia usipake bleach kwanza mpaka ziache kukatika.
We mgodi wangu sikuelewi, ngoja nikutafute 😀Sawa natural "gd" unitafute though
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nlikuja mjini 2015 na gari la kampeniUnaonekana ni demu uliyekuja mjini juzi ni ushamba wako hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Nina kipara kama cha Cheyo mkuu..Nikinyoa kiduku si ntakamatwa nipelekwe MakumbushoKunywa kiduku je
Sawa natural "gd" unitafute though
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishindaKuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....
1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.
2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.
3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.
4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya
5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....
Wewe huwezi nini?
Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
Swahibaaa[emoji23] [emoji23]Mimi mwanamke anayevaa wigi hata awe mzuri vipi sitongozi
Wananuka kama mzoga
Nilijaribu kupaka minara kichwani nikapata kama vile mba, ni ngozi ilikua inatokaYaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishinda
kupaka Angel face n fundition vyote hivyo vimenishinda.
jaribu kutumia mafuta ya nazi lakini upike mwenyewe kama unajua.Ni mazuri sana kwa nywele za asali.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Lipstick napaka kiasi ila dakika 20 ni nyingi yote imefutika sijui huwa nalamba hata sielewiMimi kupaka lipstick na kuvaa suruali siviwezi
anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani eti kutikisa mgongoKuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...
Kufuga kucha na kubandika yani hata za miguu huwa nakuta vipisi tu na maumivu zimekatikia wapi hata sijui natembea miguu baja ha haha ...
Kuongeza kalio yani nimeletewa dawa mpaka na shuhuda mi hata hawanishawishi wameishia kuniita pasi na mbahili.. niongeze kalio halafu iweje Acha niendelee kutikisa mgongo
Eeh Mpendwa ndo maana nikajiunga na kwaya kabisaMpendwa inaonekana unapenda muonekano halisi..Safi sana..
Hahah,Dogo we ndo unaitwa mgodi?? Mama yangu weee angalia usije maliza mtaji wa magari hahaaaa
h ahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani eti kutikisa mgongo
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Hadi scrub we umenizidi teh1.Kuweka nywele dawa,
2.kuvaa cheni,
3.kupakaa mafuta makali,
4.kupakaa poda,wanja,
5.kufanya scrabu
Nimeshindwa labda na imani imechangia.
Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
Yaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishinda
kupaka Angel face n fundition vyote hivyo vimenishinda.
jaribu kutumia mafuta ya nazi lakini upike mwenyewe kama unajua.Ni mazuri sana kwa nywele za asali.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mmmh wakati naona picha hadi ngozi imeumuka, napenda ila mi maumivu hapanasidhani wanasema haiumi
Sent From my C5 wereva