Urembo ulionishinda mimi.....



Nadhani mimi na wewe ni wamoja kabisa kuna ambacho hata kujaribu haitaokea..... kucha, kope, nilivaa wigi nadhani hazifiki hata mara 3 nilishwahi shonea weaving mara 3 na sidhani kam aitarudia tena kamwe

sema wewe una dread lock hilo pia kwangu kamwe sitalifanya......
 
Bora hata wewe mara tatu, mie weaving sijawahi kushonea
 
Mimi kucha za kubandika nimeshindwa
kujichubua hapana na Mungu aendelee kuniepusha na hilo pepo
nyusi zangu sizinyoi ila wanja wa lulu lazima
weaving nimeshindwa
wigi navaa mara mojamoja kama nikiwa nimebanwa sana mpk nimeshindwa kusuka
high heels pia ni urembo ulionishinda
kuvaa nguo za juu ya magoti pia nimeshindwa
 
Napenda....
evelyn salt njoo Pm tufahamiane kidogo


Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
 
Wanja najaribu jaribu, kucha hapana nlivoumizwa siku ile sirudii, afu ilikua kutoa ushamba tu nna kucha ndefu za mikono na miguu hata sina haja ya kubandika
Hiyo ligi ya kupak wanja looh kama kun mwalimu humu anifundishe khaa natia aibu
 
Princess arian jitoleee kunifundisha shoga ako nami nijue
 
Hahahahahaaa..umenifurahisha kweli..njoo nikugawie langu og
 
Wigs no....rocking my dreadlocks
Kope....no
Wanja...yes
Kubandika kucha.....no no
Kujichubua... no
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…