Urefu wake.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urefu wake....

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Jul 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  [h=3]Urefu wake....[/h]

  [​IMG]
  Wanawake si rahisi kufahamu vipimo sahihi vya uke kwa kuwa si rahisi kupima, Inawezekana wewe ni mwanamke na unajua kwa kukisia vipimo vya uke wake kutokana na hekaheka za matumizi hata hivyo jambo la msingi ni kwamba kuta za uke ni elastic na si rahisi kujua vipimo halisi.
  Je, vipimo sahihi vya uke wa mwanamke akiwa relaxed ni kiasi gani?
  Mwanamke akiwa relaxed urefu wa uke ni wastani wa sentimita 8 na nusu hadi 10
  Wakati kipenyo ni chini ya sentimita 3
  Akiwa amesisimka uke hupanuka na kuwa kati ya sentimita 13 hadi 15.
  Wakati kipenyo huwa sentimita 3 hadi 6.
  Na wakati anapojifungua mtoto uke hufika urefu wa sentimita 20 hadi 23 na kipenyo huwa kati ya sentimita 3 hadi 5.
  Wanawake wengi wanaamini kwamba wakiwa na uke unaobana husaidia kuleta raha kwa mume na mke wakati wa sex, kuna Ukweli ndani yake kwani namna uke unavyozidi kubana maana yake ni raha zaidi na msuguano zaidi.
  Na kwa kweli uke ambao unapwaya husababisha dhiki kuu katika sex.
  Hata hivyo swali la msingi kujiuliza ni je, ni kiasi gani tutasema uke unapwaya?
  Uke hutofautiana katika vipimo kila wakati, mwanamke anapokuwa relaxed kuta za uke huweza kukutana hata hivyo vipimo huanza kubadilika wakati mwanamke anakuwa amesisimka na kuwa tayari kwa sex.
  Kipenyo huwa kidogo mwanzo wa uke (opening) na huendelea kupanuka unavyoingia ndani.
  Mara nyingi uke hubadilisha vipimo hasa baada ya mwanamke kujifungua kutokana na kutanuka kwa uke wakati wa kuzaa mtoto na wanawake wengi hulalamika kwamba wanajisikia wanapwaya na hata kushindwa kuthibiti kibofu cha mkojo baada ya kuzaa.
  Njia sahihi ni kufanya zoezi la kukaza misuli Kegel au surgery ya kukaza uke.
  Je kuna sababu ya mwanamke kuhofia mwanaume alinayebarikiwa kuwa na uume mrefu au mpana?
  Haina haja kwa sababu kwa sababu namna uke unaweza kupanuka basi huweza kufanya accommodation ya size yoyote ya uume.
  Ndiyo maana mtoto huweza kupita wakati wa kuzaliwa.
  Kimahesabu asimilia 60 ya wanawake duniani wana size ya wastani, asilimia 10 size ndogo na asilimia 30 ni size kubwa, sijajua wewe upo kundi gani.
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="width: 635"]

  Pia hii ni kukutahadharisha kwamba kama una size kubwa ya uke unaweza kukumbana na matatizo yafuatayo.
  Kwanza ni huwezi kupata raha na kuridhishwa vizuri na partner wako wakati wa sex kwa kuwa unapwaya yaani hakuna msuguano.
  Pili hewa huweza kuingiza wakati wa sex na kuanza kutoa mlio unaoweza kupunguza kujiamini na raha ya mapenzi pia unaweza kuwa na matatizo ya kubana mkojo.
  Njia sahihi ya kuimarisha size ya
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  na size ya nanii vp....ile kaka hamisi?
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  "Pili hewa huweza kuingiza wakati wa sex na kuanza kutoa mlio unaoweza kupunguza kujiamini" duh mm nilijua ttz ni kibamia kumbe issue ni K iko XL!!! aiseee ss yupi anatatizo kubwa mwenye kipenyo kikubwa or urefu..........
   
 4. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Punguza jazba bibie,.
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Darasa tosha!Ungefafanua na kuelezea kwa kina namna ya kupunguza ukubwa,maana umegusia kidogo mazoezi,ni yapi hayo?
   
Loading...