Wise Sister
Member
- May 27, 2014
- 52
- 51
Wakubwa heshima kwenu, naomba mwenye uelewa wa course ya Urban Development and environmental management, yaan mtu akisoma anabobea katika nini na kazi zake zipoje/ajira anaajiliwa wapi? mdogo wangu kachaguliwa course hiyo chuo cha mipango dodoma, ila hatuna uelewa mpana na course hiyo. Mwenye uelewa naomba atusaidie. Natanguliza shukrani na baraka nyingi za mwenyezi Mungu. Amina