DOKEZO Responded Urasimu na umungu watu ndani ya PSSSF - Dodoma ni kidonda kilichokosa dawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

babajeska

Senior Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
157
Reaction score
196
Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja humu JamiiForums kuleta kilio changu namshukuru Operation Manager alinisaidia.

Pia soma ~ PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

Sasa hivi nimekidhi vigezo vya kuhamishiwa uchangiaji wa hiari lakini tangu nianze huo mchakato tangu mwezi wa tano hadi sasa kila siku danadana, kila nikifatilia nauliza labda kuna documents zina mapungufu niambiwe niweke sawa najibiwa hapana, basi nilipeni naambiwa subiri.

PSSSF Kinondoni wananisaidia sana kupush ila tatizo liko Dodoma ndiko kwenye Mungu watu ambao kutimiza majukumu yao hadi wapigiwe simu waombwe wakati ni wajibu wao, yaani kila approve hadi mtu apigiwe simu.

Ukiangalia mabandiko mengi sana humu JamiiForums kuhusu PSSSF tatizo lipo Dodoma, huku kwenye matawi wanajitahidi sana kuwahudumia wateja ila wanakwamishwa na Wadodoma.

Mkurugenzi mpya PSSSF mulika hiyo timu yako ya Dodoma otherwise kila siku malalamiko hayataisha.

Wateja wangapi wanarushwa rushwa hivi? Wastaafu wangapi wanapigwa danadana?

Mtu anayefuatilia mafao yake inamaana amestaafu au bado hana ajira akikamilisha nyaraka zinazotakiwa urasimu wa kufanya malipo unatoka wapi?

Mpeni mtu haki yake akaangalie namna ya kujipambania maisha yake na wategemezi wake. Si busara kila wakati hadi mtu ueleze matatizo yako uhurumiwe ndo upate haki yako.

Ufafanuzi soma hapa ~ PSSSF: Kwa TEHAMA ya PSSSF kila ofisi nchini pote inaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu
 
Mimi ni mwanachama wa mfuko wa psssf niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali,mwaka jana nilifatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja humu jamii forum kuleta kilio changu namshukuru operation manager alinisaidia PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

Sasa hivi nimekidhi vigezo vya kuhamishiwa uchangiaji wa hiari lakini tangu nianze huo mchakato tangu mwezi wa tano hadi sasa kila siku danadana,kila nikifatilia nauliza labda kuna documents zina mapungufu niambiwe niweke sawa najibiwa hapana,basi nilipeni naambiwa subili

PSSSF kinondoni wananisaidia sana kupush ila tatizo liko dodoma ndiko kwenye Mungu watu ambao kutimiza majukumu yao hadi wapigiwe simu waombwe wakati ni wajibu wao,yaani kila approve hadi mtu apigiwe simu.
Ukiangalia mabandiko mengi sana humu jamii forum kuhusu psssf tatizo lipo dodoma,huku kwenye matawi wanajitahidi sana kuwahudumia wateja ila wanakwamishwa na wadodoma.
Mkurugenzi mpya psssf mulika hiyo timu yako ya dodoma otherwise kila siku malalamiko hayataisha.
Wateja wangapi wanarushwa rushwa hivi??,wastaafu wangapi wanapigwa danadana??
Mtu anayefuatilia mafao yake inamaana amestaafu au bado hana ajira akikamilisha nyaraka zinazotakiwa urasimu wa kufanya malipo unatoka wapi???Mpeni mtu haki yake akaangalie namna ya kujipambania maisha yake na wategemezi wake.Si busara kila wakati hadi mtu ueleze matatizo yako uhurumiwe ndo upate haki yako.
Mimi Toka mwezi wa Nne hadi Sasa nahangaishwa!
 
Katika maeneo ambayo ukitaka kuona watanzania wanateseka kama wapo jehanamu ni katika hii mifuko ya Hifadhi ya jamii. NSSF na PSSSF usiombe uwe unafuatilia madai huko. Njoo kesho, njoo wiki ijayo nyingi sana. Unaweza ambiwa njoo baada ya wiki mbili mhusika yupo Training. Unaweza kwenda kila siku unaambiwa mfumo upo chini. Mimi nilijaza form tokea mwezi wa sita na ilikua na attachment zote lakini mpaka sasa sielewi chochote kama pesa zitatoka lini. Majibu yao ndoa hayo njoo kesho mpaka unakata tamaa. TAKUKURU tusaidieni uwajibikaji wa wafanyakazi wa hii mifuko inawezekana hizi njoo kesho ni njia za kutushawishi tuvae mashati marefu ili wa fast truck malipo. Kama form imekamilika na attachment zote zipo kwa nini mtu ukae zaidi ya miezi miwili kama sio kutengeneza mazingira ya rushwa?
Wastaafu wanapata sana taabu bora hata sisi vijana tuna nguvu za kuvumilia njoo kesho zao kwa wastaafu ni mateso makubwa sana
 
Mbaya zaidi ukipiga simu customer care Leo,ukijibiwa piga wiki ijayo,ukipiga unaanza kujieleza upya nae anakwambia piga wiki ijayo!danadana ni Nyingi sana!Hivi wapo seriously kweli kwamba wanahudumia Binadamu wenzao kweli?!!
 
Naona wanatengeneza mazingira ya kuwapa kitu ili walipe mapema. Wale watu wana mishahara mikubwa na marupurupu mengi kukwambia njoo mwezi mmoja wao wanaona kama ni kesho tu maana hawana njaa. Lakini kwa mtu asiye na kazi mweZ mmoja ni kama mwaka
 
Ina maana wao hakuna aliyestaafu au kuachichwa kazi na akaona machungu?, Mkurugenzi mpya anasifiwa kwa uchapa kazi na ni Dr, hapitii humu?
 
Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja humu JamiiForums kuleta kilio changu namshukuru Operation Manager alinisaidia.

Pia soma ~ PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

Sasa hivi nimekidhi vigezo vya kuhamishiwa uchangiaji wa hiari lakini tangu nianze huo mchakato tangu mwezi wa tano hadi sasa kila siku danadana, kila nikifatilia nauliza labda kuna documents zina mapungufu niambiwe niweke sawa najibiwa hapana, basi nilipeni naambiwa subiri.

PSSSF Kinondoni wananisaidia sana kupush ila tatizo liko Dodoma ndiko kwenye Mungu watu ambao kutimiza majukumu yao hadi wapigiwe simu waombwe wakati ni wajibu wao, yaani kila approve hadi mtu apigiwe simu.

Ukiangalia mabandiko mengi sana humu JamiiForums kuhusu PSSSF tatizo lipo Dodoma, huku kwenye matawi wanajitahidi sana kuwahudumia wateja ila wanakwamishwa na Wadodoma.

Mkurugenzi mpya PSSSF mulika hiyo timu yako ya Dodoma otherwise kila siku malalamiko hayataisha.

Wateja wangapi wanarushwa rushwa hivi? Wastaafu wangapi wanapigwa danadana?

Mtu anayefuatilia mafao yake inamaana amestaafu au bado hana ajira akikamilisha nyaraka zinazotakiwa urasimu wa kufanya malipo unatoka wapi?

Mpeni mtu haki yake akaangalie namna ya kujipambania maisha yake na wategemezi wake. Si busara kila wakati hadi mtu ueleze matatizo yako uhurumiwe ndo upate haki yako.

Ufafanuzi soma hapa ~ PSSSF: Kwa TEHAMA ya PSSSF kila ofisi nchini pote inaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu
Wakatie rushwa kibingwa ama waahidi rushwa mzigo si unaingia kwako?? Ukiingia unapotea
 
Back
Top Bottom