Mantissa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 876
- 166
Mwenye akili ya kutaka kuelewa yanayojili ndani na nje ya nchi, hawezi kusoma Tazama. Kwa Lumumba type sawa. Linauzwa sh. ngapi vile, maana hata sijui bei yakeGAZETI zuri sana hili kwa habari za uhakika, jiondoeni upofu kwa kung'ang'ania kusoma Tanzania Daima , mtaishia kusoma habari za CHADEMA peke, someni magazeti yanayo address masuala ya kitaifa na siyo ya SACCOSS ya CHADEMA.