SINa imani kabisa na kibabu silaha,KWANZA NI MZEE SANA NA BADO ANAMPANGO WAKE NA KASKAZINI, NYINYI MTWARA,TANDAHIMBA NA KWETU VWAWA MBOZI MBEYA TUTASUBIRI SANA
UNASHANGILIA HEWA!!!! kapime malaria nahisi imekupanda kichwani
Acha ukabila. Tuungane tufanye Mageuzi tumechoka na CCM.
Habari ya kwenye vikao vya kahawa. Mgombea na makamu wake kwa katiba iliyopo lazima watoke chama kimoja. Maalim Seif ataihama CUF?Hii habari sidhani kama ni yakweli
Kama ni kweli basi it's POOR TIMING ...........................!!
Nawashauri wauchune mpaka CCM wajiingize kichwa kichwa kwanza!!
SINa imani kabisa na kibabu silaha,KWANZA NI MZEE SANA NA BADO ANAMPANGO WAKE NA KASKAZINI, NYINYI MTWARA,TANDAHIMBA NA KWETU VWAWA MBOZI MBEYA TUTASUBIRI SANA
Huu ni uzushi mtupu kutoka CCM Lumumba.
UKAWA haiko kugawana madaraka ila kutetea haki za wananchi.