Urais CCM Joto kweli kweli

Eti Adam Malima naye ana sifa ya kuwa Waziri Mkuu!!

Huu uzi umepikwa vibaya kama ile sinema ya Amboni.
 

Wewe umetumwa, mganga njaa mkubwa
 

Ni zamu yetu sisi maana si miaka mitano iliyopita wametawala wao? (either of the two)
 
HAPO KWENYE DOA:embarassed2: LOWASA anakosaje SUMAYE awe na madoa? hivi nani hajui kma LOWASSA ni fisadi kiwembe
 
Kwa hali tuliyo nayo watanzania kwa sasa hatuhitaji kiongozi kutoka ccm,tumechoshwa na wizi na ukwapuwaji wa rasilimali za taifa kupitia ccm.

El ndo habari kwa sasa na anaonekana hatanii nadhani akiwa Rais El tz itasogea anaonekana anataka kuwapiku walowahi kuwa MA prezidaa wa bongo, na kwa jinsi anavyosema kuwa kwake yeye kipaumbele ni kuwekeza kwenye elimu aaa there is no daught kwamba El ndo tunayemhitaji Mungu wa mbinguni na atusaidie
 
Raisi kutokea CCM hajulikani mpaka mwisho wa mkutano mkuu.Maamuzi ya Wajumbe wa mkutano mkuu ndio wenye kauri ya mwisho.Mwaka huu yawezekana wakaamua kuteua finalist watu tofauti ya wale tunaofikiria au walioanza kujinadi ili kumaliza mzizi wa fitina.Usishangae kusikia Ni Spika Anna Makinda vis Mh Migiro. Hao akina mama wakiwa ndio wataingia fainali ndio suruhisho la kulinda chama kisigawanyike vipande na litakuwa pigo kwa mamluki.
 
Lakini najiuliza kila nikiingia kwenye media nikipitia magazeti social networks nk nakutana na jina Edward Lowasa

Kwann mnamjadili mtu aliyeko kijijini kwake monduli anakunywa maziwa yake na wajukuu wake,,??narudia tena kwann tunamzungumzia?

Kwanza tatizo ni nini? Ahaaa ni mbio za uraisi!!!! Kwani ametangaza nia kama wengine??jibu ni hapana,,

Kwann hatuwajadili waliokwisha kutangaza nia? Tukaanza kuwanadi hao!au hawana sifa???


Au basi tuambiane mnampendekeza nan au nani tumshawishi atangaze nia?

Napata ukakasi kuwa ile tabia na ugonjwa wangu wa kumpenda nelly lakini naogopa kumwambia kwa udhaifu wangu,,, kumbe tunao wengi


Natania tu jamani


Tunamzungumzia sana jaman kama ndio chaguo letu tusijifunge tumfate monduli atangaze nia au mnaonaje


Karma hutaki unamtaka nani sasa


Mr.lowasa you are my president bana
 
Hata ukimchukua mtoto wa BRN hatahitaji kutumia akili nyingi kujua mleta mada ni team EL
 
Lowasa hajatangaza nia bana msihofu
 
Mtoa mada hii ni dhahiri unapakatwa na TeamLowassa. Hakuna Mtanzania asiyejua kuwa mwanasiasa mwenye doa kubwa la maadili, aliyejilimbikizia mali na mwenye tuhuma nzito za ufisadi ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond, Edward Lowassa. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alituonya tumuogope mtu huyu kama ukoma.
 


alizipata wapi hizo fedha {utajil}?
 

Nimependa post yako kwa kuwa mkweli kuwa EL ni chaguo lenu nyie CCM. Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ila si vibaya mkijua kuwa EL si chaguo la Watanzania.
 
Wapambe wa Lowassa angalieni njaa itawaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…