Urais 2020: Tundu Lissu Vs Dr.John Magufuli

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,276
12,397
Nadhani huu mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa 2015...
Tundu Lissu kwa sasa ndiye anayeonekana kuwa mpinzani wa kweli wa awamu ya tano..
Mwanasiasa ambaye kwa sasa ana "huruma" ya jamii kutokana na yale yaliyomkuta...
Je,itakuwaje kama atagombea urais wa Tanzania 2020?
 
hahaaaaaaaaaa bila katiba mpya mkuu kura zetu kwa lisu zitaibiwa tu nakupewa huyo aliechagua tume
 
Hapo ndo unajua tunao fikiri tunataka moyo wetu utunikiwe kile tunacho kiamini

Kwa hali ya kawaida siasa ina mageuzi makubwa kuliko tunacho kiona Leo lisu ana nguvu kesho ataibuka mwingine ana nguvu atatutoa kwenye majadala wa lisu na tutuanza kumjadili yeye
 
Acheni kumpambanisha Lussu na Magufuli kwenye urais, Lissu alushasema kuwa yeye anafurahi kuwa mbunge ili aikosoe serikali wala hajawahi tamka azma ya kuutamani urais
Kwani tumesema anatamani au?
 
Hapo ndo unajua tunao fikiri tunataka moyo wetu utunikiwe kile tunacho kiamini

Kwa hali ya kawaida siasa ina mageuzi makubwa kuliko tunacho kiona Leo lisu ana nguvu kesho ataibuka mwingine ana nguvu atatutoa kwenye majadala wa lisu na tutuanza kumjadili yeye
Anyway,watanzania ni watu wa "matukio"
 
Nadhani huu mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa 2015...
Tundu Lissu kwa sasa ndiye anayeonekana kuwa mpinzani wa kweli wa awamu ya tano..
Mwanasiasa ambaye kwa sasa ana "huruma" ya jamii kutokana na yale yaliyomkuta...
Je,itakuwaje kama atagombea urais wa Tanzania 2020?
Ccm ni wezi wa kura mkuu
 
Anyway,watanzania ni watu wa "matukio"
Ndio mkuu nalijua hilo nadhani miezi kadhaa iliyo pita lowasa alisema atagombea tukabaki tunajadili Leo tunajaribu kuangalia mtu mwingine kulingana na ushawishi wake kwa jamii
Na ndio maana nikasema kuwa ataibuka tena mwingine mwenye ushawishi bado tutaweka mjadala

Matukio na mazuri ukijua kutunza kumbukumbu na pia matukio ni mabaya ukiwa hujui kutafakari
 
hilo la huruma limetoka wapi? lissu angeweza bila hata ya tukio la juzi, hilo la huruma litoe hapo!
 
Back
Top Bottom