Nadhani Lowassa ndie atakuwa Rais kuanzia miezi michache ijayo.
Anaungwa mkono na wengi
mwaka huu na huyo panya wenu mtakoma.....tumeshasema labda atoboe mtungi asepe..ila akisubiri tuje tuinamishe mtungi na tumtoe wenyewe msilaumu.....kama hamjui kusoma basi angalieni hata picha...
Naomba mungu ccm wampitishe huyo fisadi ili tupate daraja. Na hakika ttapita juu ya mgongo wake.
Huyu mwalimu ni team Lowassa mwenyewe tu asiwashawishi wenzake kumuunga fisadi
umekula maharage ya wapiiiiiAlly makwilo ni kijana Wa lowasa na ndiye mwenyekiti Wa team lowasa Kwa temeke,so hatushangai Kwa kuwakusanya wahuni wenzake anaowaita walimu eti wanamuunga mkono lowasa,na ijulikane kuwa huyo ally makwilo ni mwalimu Wa mbagala sec na kabla ya hapo kahamishwa shule zaidi ya tano Kwa manispaa ya temeke Kwa sababu ya utovu Wa nidhamu na hii ni ndani ya miaka 3
Uwongo huu hata shetani hawezi kuusema Lowassa hajawahi hata siku moja kutamka maneno hayo bali yule aliyefungwa jana ndo aliyetamka.Hivi, ndiyo hawa waalimu waliokuwa wakitaabika wakati wa enzi zake kama PM aliposema "hata kama nyasi tutakula"( lakini ndege ya Rais inunuliwe?"