Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

Mi mwenyew tcha ila lowasa cmkubal kabisa...na hao wanaotangaza haimaanishi walimu wako nyuma yao kwa walyosema!! na bahat nzur 60% ya walimu wa sasa ni vijana, na vijana wa sasa wanataka mabadrko ambayo hayoko ccm
 
Shule aliyosoma pale Monduli ina hali mbaya angeanza nayo hiyo tungeelewa kuwa anakerwa na tatizo la elimu nchini

inaitwaje hiyo shule nikuumbue hapa hapa mnafiki wewe
 
kumbe kuna watz mgando nilijua ni maziwa tu, na hii tabia ya mtu kuropoka af anasema ametumwa na watu wa kundi fulani kama walimu au watu wa mahali fulani ifikie kpind ikomeshwe kwa namna yoyote ile pasipokuvunja ubinadam wake
 
Hats off CHADEMA!! Hawa "walimu" wote ni CHADEMA, wanashinikiza CCM imteue Lowassa kugombea ukulu, halafu CHADEMA itashinda kiulaini kwa vile wataongelea hoja moja tu pekee wanayoijua: "fisadi". Akiingia Sam 6 au January au Tyson itawawia vigumu kushambulia. Team Lowassa wote ni CHADEMA. Bill Marconi.
 
Hivi, ndiyo hawa waalimu waliokuwa wakitaabika wakati wa enzi zake kama PM aliposema "hata kama nyasi tutakula"( lakini ndege ya Rais inunuliwe?"

Wewe nae ni mkumbo. Aliyesema maneno hayo humjui au ukichaa tu?Au ulikuwa hujazaliwa?
 
Walimu gani wajinga wanaoweza kuunga mkono chama dhalimu kama CCM na serikal yake vinavyonyanyasa WALIMU.Mwalimu anapandishwa daraja anasubiria mabadiliko ya mshahara miaka miaka miwili kitu ambacho huwezi kukiona sekta nyingine,walimu wana dhalilishwa ni Aibu tupu kwa serikali isiyojali wataalamu na kukalia hadithi zilezile miaka nenda rudi.LEO HII ZUNGUKA OFISI ZA MANISPAA NA HALMASHAURI NCHINI HAKUNA ANAE MJALI MWALIMU,MADENI HAYALIPWI, MADARAJA HAWAPANDI NA HATA WAKIPANDISHA KULIPWA INABAKI NI NDOTO.SERIKALI YA CCM INAFANYA UBAGUZI WA WAZIWAZI KABISA,KWA MFANO WANAJESHI MAMBO YAO SAFI,POLISI SAFI hata baadhi ya bidhaa wao HUPUNGUZIWA GHARAMA NCHI NZIMA.HIVYO Tusiseme walimu wameapa kumuunga mkono fisadi fulani tuseme mwalimu fulani ambaye ana vyeti vya kufoji, na anatafuta cheo amesema atamuunga mkono Lowasa.na tusijumuishe walimu wote.MWALIMU YEYOTE AWAYE YOTE AMBAYE BADO NI MJINGA SHAURI YAKE NA UJINGA HUO NI MZIGO MZITO KWA KICHWA CHAKE. MABADILIKO NI SASA UKAWA MWENDO MDUNDO MAANA TUMECHOKA SASA.LAZIMA TUHESHIMIANE ILI MAMBO YAENDE.
 
Hawa ni walimu wa kwaya au wa aina gani? Nimesema ndani ya ccm msitegemee mabadiliko.mfumo ulishaoza.nawasikitikia watz
 
Kwa walimu wala ccm wactegemee kabisa. Na shule zikifunguliwa tu julai ni ful siasa madarasani. Lazma ccm ife kichalichali...!
 
Back
Top Bottom