Urais 2015: UKAWA waanza safari

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Ukawa waanza safari ya kutafuta mgombea wa urais, kukutana jumanne kuanza mikakati ya kupata mgombea wa kiti hicho, ubunge majimbo na udiwani kata zote.

Tuwasaidie kwa hapa kuwapa mwanga, kwa kila sehemu husika.
====================

Chanzo: Mwananchi
 
Mungu ubariki ukawa. Maana UKAWA ni Tumaini letu sisi Watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Ni ishara nzuri kwa upinzani nchi. MUNGU ibariki Tanzania
 
Hekima ya Mungu toka juu ikawaongoze kusiwe na mtafaruko wowote
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Na nadhani wangeaza kwanza kwenye ubunge na udiwani ndipo wajadili uraisi naww ingekuwa vyema wangeaza mkoa kwa mkoa ingewarahisishia sana
 
Tulianza na mungu na Tutamaliza na mungu.

swissme
 
aisee wasikosee kabsa kwenye kumix damu i mean kutoa fursa kwa kila chama kushika hatam kweny jopo lao tutawaelewa sana
 
Na nadhani wangeaza kwanza kwenye ubunge na udiwani ndipo wajadili uraisi naww ingekuwa vyema wangeaza mkoa kwa mkoa ingewarahisishia sana
Tatizo lako kila siku wewe huchangia kama kilaza, unazani sisi hatujui hilo?
 
Na nadhani wangeaza kwanza kwenye ubunge na udiwani ndipo wajadili uraisi naww ingekuwa vyema wangeaza mkoa kwa mkoa ingewarahisishia sana

Hapo watakua wamepiga nyoka kichwani.waanze jimbo kwa jimbo,mkoa kwa mkoa.na washirikiane kampeni.
 
Hatimaye safari ya ukawa imefikia tamati hadi sasa cdm wana mgombea wao wa urais na cuf wana mgombea wao wa kudumu miaka yootee akiwakilisha kundi la imani yake nccr wao ni bendera fuata upepo hakuna muafalka utakaofikiwa na kila mmoja atachukua hamsini zake katiba zao zinawabana
 
Sauli akamwambia Daudi,hutaweza kumpiga Goliath,maana ni mzoefu wa vita ila Daudi akasema yule nitampiga kwa uweza wa Mungu wa majeshi,na kweli yakatimia,maringo yote ya Goliath na nguvu zake zote,akapigwa na "Jiwe moja,tena laini." hata hao wanaojidai wana mamlaka zaidi,hadi kudharau wananchi kwa kuwakosesha haki zao,watapigwa tu kwa Jiwe moja,tena laini,nalo ni UKAWA,maana ndani yake lina uweza wa Ki-Mungu,na Goliath ataanguka tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…