Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Yaani watu wa mtandaoni humu semeni ukweli. Raia wamechanganyikiwa na baadhi wako wanatukana tu hapa. Aaaagh
Nimefanyaje zumbe aisee
Lowassa atabaki kuwa rais wa UKAWA
Dr Slaa ni msomi...hayuko tayari kula matapishiyake mwenyewe
Lowassa hawezi kusimama kwenye jukwaa hata kwa dakika 40..hizo kampeni labda apige akiwa kwenye dripu
utanyooka tu.
utanNYOOKA MWAKA HUU WE SI NDO UNAMPONDAGA SANA DR VP LEO UNAKUA UNAMTETEA UNALO MWAKA HUU.
Ta Muganyizi, umekalia kidole cha kati...
Lowassa kama Yesu, utakufa kwa ujinga wako...
Lissu bado sana kuwa Rais..anakurupuka sana....Lissu mwisho kuwa Waziri wa Sheria tu, hatakiwi zaidi ya hapo... au ww kaoa dada yako...!?