Wadau,
Nikiwa mdau wa muda mrefu sana hapa (nilibadili ID, na pia nikiwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa siasa za Tanzania nimebaini kuwa kama tunataka kubadili uongozi wa nchi basi tujikite katika kuleta mabadiliko ya kweli.
Binafsi nadhani nchi yetu inahitaji kiongozi ambaye ni mkekereketwa hasa ambaye anakasirishwa toka moyoni na hali iliyopo katika nchi kwa sasa.
Tunataka mtu ambaye ana machungu na maovu yaliyopo sasa, mtu ambaye ukimmuliza leo kuwa atawafanya nini viongozi wa wabovu asema kuwa ingekuwa amri yangu ningewapiga risasi ili kwa vile kuna sheria basi sheria lazima ifuatwe.
Katika viongozi waliopo CDM kwa sasa mtu mwenye sifa hizo ni Mh.Tundu Lisu, lakini pia ana sifa za ziada; hebu angalia:
- Ana uchungu na rasilimali za nchi
- Sio rafiki wa watawala na vyombo vyake
- Ni jasiri hana woga hata kidogo
- Ni msomi
- Sio mwanasiasa kivile...
- Ana misimamo
- Ana maisha yasiyo na kashfa...kama zipo basi nile binadamu hatujakamilika - anajiheshimu
- Msikivu