Urais 2015, Rushwa vyaitesa CHADEMA


Imetesekea sehemu gani hasa??inaonekana wewe peke yako ndiye shuhuda...inanipa raha sana nikitizama na kuona kuwa kampeni yetu hata sasa imekuwa makini sana na upande wa pili ccm bado hakuna mgombea wa wazi kama ilivyokuwa 2005 kwa kikwete,this only means mwisho wa siku mtatoana macho wenyewe na mkitoka mtakuwa hata hamuoni njia vizuri..tutakuwa mbali mbele..CDM mpaka kieleweke!!!
 

Tuambie sosi ya hii propaganda yako.Inawezekana wewe ni mchumia tumbo
 
hakusema atagombea mwaka 2015, anautaka urais, na anajua hana sifa na ndio maana anaomba kupewa

Zitto tunakuamini tatizo ni sehemu unayotoka na sisi hatuwezi mpa mtu urais wakati hatujui katoka wapi eti kigoma yaani watu wetu wa kilimanjaro na arusha hawapo mpaka tukupe wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…