OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hakuna kuhariri hapo. Nimecheka sana kuona kinaitwa chama chetu cha ccm, badala ya chama cha mapinduzi.
Tokea lini kawa mtumishi wa Lowassa, acha kuongea kama mwanamke mpumbavu (mke wa Ayubu)...... Nape hana cha kupoteza ndani ya ccm kwa sababu ana chama alichokianzisha ccj.....
Swala siyo yuko kundi gani, issue kubwa ni uhai wa chama..... Au wewe ni chadema nini, unataka ccm ife babu Slaa achukue nchi.....
Una uwakika na hilo mkuu....
Kwa mara nyingine wajumbe mbali mbali wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wamezidi kukemea uhuni unaofanywa na baadhi ya makada wa chama hicho hasa Nape, kwa kutoa kauli za uchonganishi na bila kufata utaratibu na kanuni za chama.
Naomba nisiongee sana, pitia attachement hapo chini.
Asanteni
Ocampo four
Hii ndiyo Bongo Darisalam...lol!
Ni kuganga njaa kwa kwenda mbele. Kwa haraka ya mshiko hata hakuwa na muda wa kuhariri taarifa yake!
Tokea lini kawa mtumishi wa Lowassa, acha kuongea kama mwanamke mpumbavu (mke wa Ayubu)...... Nape hana cha kupoteza ndani ya ccm kwa sababu ana chama alichokianzisha ccj.....
Kwa kweli hawa wazee watusaidie kukiokoa chama, manake tunapoelekea watu kama Nape, Mangula watakiuwa chama.....
Mgeja ni Lowasa!!!na shinyanga,mwanza,geita ndiyo mikoa yenye wapiga kura wengi
Katika hali inayoashiria kuwapo kwa mgawanyiko mkubwa kuelekea katika kuteua mgombea urais ndani ya CCM na pia kumjibu Katibu Mwenezi wa CCM Bw. Nape Nauye, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga amesema hakuna aliye na hati miliki ya chama hicho kikongwe nchini!
Aidha Mgeja amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha mara moja kuwatisha makada wake wanaotangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea urais kupitia CCM! Hii ni baada ya Nape kuweka vikwazo na hatua sita ambazo chama hicho kitazitumia kupata mgombea wake!
Chanzo: Magazeti asubuhi Star TV.
My take: Kuna uwezekano mkubwa tukashuhudia mtifuano ambao haujawahi kutokea tangu mwaka 1977 CCM ilipozaliwa! Tusubiri tuone sinema ya buree!!