uraia wa USA

uraia wa USA

Ndio umeandika nini sasa? Unashindwa hata kueleza kidogo utafikiri na sisi tupo kichwani kwako?
 
Habari wadau
Kuna umuhimu na faida gani kwa mbongo kuwa raia wa marekani?

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Hii lazima wale wenye Ngabu Complex waje na huku maana wakiniona tu lazima hysteria waliyonayo ina kick into high gear.
 
Back
Top Bottom