Urafiki wa utata

Urafiki wa utata

Joined
Mar 30, 2017
Posts
16
Reaction score
2
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nina rafiki wa kike lakini huyu rafiki wa kike huwa tunapenda sana kuongea usiku, lakini kila nikiongea naye siku hizi maongezi hayaishi mara ananiambia mimi sina usingizi kabisa lakini cha maana anachokuambia hakuna zaidi kukuulizia tu mchumba wako na kuanza kukuambia eti nilikosea sana kuwa na huyo mchumba mana hatuendani ila yupo tunayeendana naye na siku moja nitamjua tu, mimi na mchumba wangu tunapendana sana.

Je nisitishe mazungumzo naye? Au nifanyeje mana anaweza kuniharibia mahusiano bure.
 
Yani mpaka unakumbatiwa kumbatiwa na wewe umetulia tu?
Anataka dushee huyo.
 
we dogo acha dharau yaani umeona utuandikie herufi kubwa kwanini??? Kuwa na adabu na heshima
 
kabla hata sijayasoma kwanini unatuandikia maherufi makubwa kwanza..
 
Tuma number mzee....amachoitaji kwako wewe tayr upo commited...sisi nafasi zipo.
 
Kama umeona anaweza kukuharibia mahusiano yako sasa unangoja nini mkuu...Embu shtuka na miaka yako 28 hiyo
 
Back
Top Bottom