Wanawake wengi ndio wana urafiki wa sampuli hii, hawafai kabisa
bht, siwezi kukataa kwakweli maana kuna ukweli fulani ndani yake. Ukiniambia hivi nakutwanga na thanks ya kutimiza ahadi yakona mimi nikisema wanaume wengi wana urafiki wa sampuli hii je utakataa? kuvaa ngozi ya mwana kondoo nadni mbwa mwitu......(hapa sina maana ya penzi la pesa tu bali penzi la ulaghai kwa ujumla wake)
na mimi officially nakwambia hivi hapo ngoma droobht, siwezi kukataa kwakweli maana kuna ukweli fulani ndani yake. Ukiniambia hivi nakutwanga na thanks ya kutimiza ahadi yako
Delila anawakilisha wanawake 99%