Ligi haijaisha na simba mechi zijazo achezi na azamLeo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba
Makocha wageni huchezesha kwa kuangalia profile za wachezaji.Kabla ya Leo azam alifungwa mechi mbili na droo za kutosha, je alikuwa anacheza kama mjamzito ili kuibeba Simba? Kubali kataa madogo wanaopewa nafasi na mgunda wanajituma sana maana ndio kwanza wanajitafuta kupata namba za kudumu.
Una macho malyenge na ubongo malyenge!! Kwani mpira umeona peke yako?Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo
Azam aliwapa Ngasa Simba
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi
Mbumbumbu mnatamba kwa ushindi wa kupangaaHee, Yamekuwa hayo..?
Yaani Utopolo akimfunga Azam ni Sawa na ni uwezo wake...! Mnyama akimfunga Azam Kauza..!
Ama kweli Yanga kuna Wehu Watupu, sijui ni lini Wenye Akili Wataongezeka zaidi ya Wale Wawili?
Timu inayotegemea majini ya mpili ndiyo ishinde mechi mashabiki wake ni mbumbumbu tuAzam ni tawi la mbumbumbu lililo huko Chamazi
Bangala akikuwa anacheza na jukwaa badala y kujituma uwanjani, Azam hawana beki wenye uwezoAzam anefungwa Wala hajauza mchezo... Hizi assumption za kijinga tuziache. Mbona mechi ya kwanza walio draw haya maneno hayakuwepo?.
Azam ipo kwa ajili ya SimbaWatu wanasema Mzee Bakhresa ni simba Damdam tena lialia toka enzi za Sunderland miaka ya sabini na themanini
View: https://youtu.be/oa0XV29OkJE?si=qFIhUnVct_OtX_nT
Yameumia mnoo haya mavyura koko...Timu yaniytegemea majini ya mpili ndiyo ishinde mechi mashabiki wake ni mbumbumbu tu
Wanayanga ni kama mwanamke mjamzito tu.Mara aombe kande saa 8 usiku,mara aseme chakula kigumu hakifai au anaomba ice cream,ukimpa anasema maziwa yanampa kichegu chefu HawaelewekiAzam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike