Urafiki umeisha kisa gari

Jamaa hana swaga ni immaterial anatumia vitu kumvuta mwke badala ya kushuka mashairi yatakayo mlainisha
 
baba wa makamo????unawasiliana nae vipi
MKINYOLEWA MNALALAMIKA

am sure ana familia yake huyo....sasa sijui mnawasiliana nini
 
Utapendeka tu dada,mbona wanaume wengi bana,hembu kwanza weka picha
 
Labda Alikwambia Achukue Gari Aliloazima
Ahsante Jigo
 
...Akiwa mjini akakwambia yupo na gari ukimwambia na wewe upo mjini akusubiri anapotea hewani....

Hata mimi ningekuwa napotelea hewani. Huwezi jua mipango yake mkuu. Kama amepanga akitoka town, aupitie mchepuko wake sehemu then apumzike mahali flani, huoni kama utakuwa unataka kuingilia uhuru wake? Acha hizo bana...

Urafiki haujaisha kisa gari. Umeisha kwa sababu wewe msumbufu sana.
 

Ye ndo kachagua hivyo, hamna haja ya kumshikia bango.
 
Yatawatoa roho magari ya watu haya jaman lol...!
 
Wasichana kwa kupenda magari hawajambo!wapo tayari kutoa bidhaa zao muhimu sababu ikiwa ni lift...
 

You are right. Tatizo hapa si gari bali usumbufu. videmu vingine ukishavipa namba basi inakuwa balaa.
 
Ukitaka akupe lifti au umuone mjini kila siku na gari uwe unamchangia walau na hela za mafuta siyo blablah
 

Tatizo. lenu nyie bila kuongopewa hamtoi K that's why men has to go a very long meandering way.
 
Yatawatoa roho magari ya watu haya jaman lol...!
Huyu binti sijui mama hamjamuelewa,actually anachosema ni kuwa wamekutana na mbaba mmoja akawa amemzimia au amemkubali sasa mbwembwe za yule jamaa kujifanya ana gari kisha huyo mdada akamkamata uongo zimemfanya jamaa apotee kwa aibu na hataki hata kupokea simu.
huyo hapendiki2 ndo akaja hapa kulalamika ama kusema amekutana na huyo jamaa ila ndo kateleza baada ya kumgundua swaga zake ni za kugushi.
 

Of all wewe umenipata.
Na mimi si kuwa nalalamika ila ni fundisho tu kwa wengine kuwa jieleze wewe ulivyo. Uongo wa nini ukizungatia kuwa atafuti mke wa kuoa
 
Itakuwa jinsia ya kike, na alikuwa ameshamkubali jamaa! Ila sasa inashindikana kwa sababu swaga za jamaa zimefeli na jamaa anaona soo kuendeleza mawasiliano.

Na si kuwa wala alinitaka kimapenzi. No just a friend labda km alikuwa anataka kuelekea huko.
Na vilevile as I said ni mtu mwenye familia yake and I have mine too.
Kwa misingi hiyo ukisoma thread yangu utaelewa vizuri nalenga nini na wala silalamiki.
Ila nawashauri watu tu kuwa wakweli.
Thanks
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…