heeee!!!! leo acha tu niwe mrengo wa kushoto kwakweli.....
urafiki na mupenza hapana asee, labda kama nitakuwa part of that outings....
na penyewe ni labda.... yani naongea kwa herufi kubwa SITAKI!!!!!
heeee!!!! leo acha tu niwe mrengo wa kushoto kwakweli.....
urafiki na mupenzi hapana asee, labda kama nitakuwa part of that outings....
na penyewe ni labda.... yani naongea kwa herufi kubwa SITAKI!!!!!
Kwangu mimi hili halina jibu maalum!. wakati mwingine tunaangalia 'dhamira' ya wahusika na ukaribu uliopo!. Kama unaamini 'your conscience is clear' siioni tatizo kwa mume wa mtu kuwa na kampani na wadada as part of socialization. Swali linaweza kuwa wewe binafsi unachukuliaje kama ndiyo mumeo akikuambia kuwa alikuwa na mdada just for company....Ikumbukwe kwenye maisha mwingiliano wa ke na me ni mkubwa hususani makazini na hata kwenye biashara!..Tatizo linakuja pale ambapo the so called company inapoelekea kukiuka haki za msingi za mke/mume na kuanza kuleta maswali!..Otherwise, i see no offence!
Namkumbuka Dr.Remmy,aliimba
::
Mke wa mtu usiseme nae,
Mke wa mtu usicheke nae,
Akikutongoza kamwambie mumewe!
Gharama alizopata haujui ndugu.
Mume wa mtu usimbebee koti,
Ukimbebea koti usitembee nae,
Mume wa mtu usimpakie wanja,
::
Kuwa makini,,ukaribu ukizidi unajiandalia kamba ya kujimaliza mwenyewe.
=
USICHOTAKA NINI Haswaa labda? Kwani kuna baya gani mwenzio kakutendea? Hizo outings ni za kutoka job kungojea foleni, wewe kazini kwako kwingine kabisaaaa! muonee huruma mwana wa mwenzio anahitaji company!!!!!!!! LOLEST!!!!!!!!
hakuna ubaya... ila ukiona anaelekea kuteleza inabidi umstue.
Evelyn vya watu lakini havina stress
hakuna ubaya... ila ukiona anaelekea kuteleza inabidi umstue.
Hahahaaaaaaaaaa! Umeonaaaa! NO OFFENCE KABISA!!!!!!!1 Basi tu watu kuwa na imani ndogo! Hakuna baya parsee linalotendeka!!!!!!!!! Ukiulizwa kinahokupa wasiwasi ni nini hakunaaaaaaaaa!