maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.
Hebu njoo chemba, mambo mengine sio ya kuongelea kwenye kadamnasi, kuna kaka zangu, wasije wakakutenda vibaya
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.
Sio siri, natamani sana nikuone, hasa kwa maada zako tamu unazozianzisha!
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.
mbona juzi tu hapa wana jf wamevalishana pete,kila kitu kinawezekana ni kuwa makni na umtanguliza Mungu mbele tu ,maana hata humu sio wote ni wema.