Hi,
Mdada wa miaka 20-25 ajitokeze haraka,kama vigezo vitatosha tuwe marafiki,wapenzi na hatimaye ndoa..
SIFA ZAKE
1.Awe mzuri (how, uzuri uko machoni mwako mkuu. kuwa SMART)
2.Awe mzuri
3.Awe mzuri
4.Elimu yoyote..
5.Asiwe mfupi
na sifa zingine nzuri kwa mwanamke
Njoo PM tutengeneze maisha ya familia yetu na watoto wetu,
How, uzuri uko machoni mwako mkuu. kuwa SMART
Ndio,
Neno mzuri lina maana nyingi sana,so kama wengi wanavyolichukulia
Hahahahaa uzuri kwangu unaanzia machoni,
Tabia baadaye...lazima anivutie kwanza mengine yatafuata,na ndio maana nimeweka mzuri mara tatu...wazuri wapo na wanajijua tatizo lako nini?yaani unanifanyia choice hahahahaaa its very ridiculous
Hi,
Mdada wa miaka 20-25 ajitokeze haraka,kama vigezo vitatosha tuwe marafiki,wapenzi na hatimaye ndoa..
SIFA ZAKE
1.Awe mzuri
2.Awe mzuri
3.Awe mzuri
4.Elimu yoyote..
5.Asiwe mfupi
na sifa zingine nzuri kwa mwanamke
Njoo PM tutengeneze maisha ya familia yetu na watoto wetu,
nenda shule,umetoloka kidato unaulizwa uzuri gan una jibu sasa tukusaidieje
Hi,
Mdada wa miaka 20-25 ajitokeze haraka,kama vigezo vitatosha tuwe marafiki,wapenzi na hatimaye ndoa..
SIFA ZAKE
1.Awe mzuri
2.Awe mzuri
3.Awe mzuri
4.Elimu yoyote..
5.Asiwe mfupi
na sifa zingine nzuri kwa mwanamke
Njoo PM tutengeneze maisha ya familia yetu na watoto wetu,
Hahahahaaa Elimu niliyonayo probably wewe hujaifikia..halafu mbona inawauma sana jamaani?au nyie mna wanawake wabaya wa vyote?
Poleni sana maana mlikosea kuchagua,acheni nijichagulie kwa mbwembwe zote..
uzuri its abroad term sura,tabia,mwondoko n.k na kwa taarifa yako P.M zinamiminika tu maana wenye sifa hizo wapo wengi so nafanya interview nani nimpe nafasi..