Upweke unanitesa, nisaidieni.

tunaruhusiwa kuja pm kukufariji?
 
 

Mtazamaji kula chuma iyoo [emoji23]
 
Mimi huwa sielewi mwanaume unashindwaje kujua kutongoza?

Huwa ninaamini moja ya sifa kuu ya mwanaume ni kujua kutongoza, aisee!! Mimi siwezi kukosa mwanamke nikiamua ndani ya masaa 24 lazima nimpate, Ugumu ni kuipata elfu 10 ndani ya muda huo.

Kwakweli sielewi Kama Sisi wengine tuna kismati na wanawake au ndo tunajua kushawishi. Laiti kutongoza mwanamke na kukubaliwa ndo ingekuwa kupata pesa basi ningekuwa mbali mno.
 
We figo76 msaidie mwenzio
 
  • Kwanza hakikisha una uhakika wa kupata kipato, angalau elfu 10 kwa siku
  • Vaa mavazi ya kukutambulisha wewe ni gentleman
  • Tembelea vyuo, nyumba za ibada n.k
 
Ukiingii kwenye mahusiano kwasababu ya huo upweke wako...utakuja kujuta

unatamani kuwa na mahusiano kwasababu tu unahisi utapata furaha au kwa kuwa unaona wengine wapo na mahusiano...mahusiano hayaleti furaha kabisa usitegemee hilo.

anyway...kama unataka kitu ambacho haujawahi kukipata basi fanya kitu ambacho haujawahi kufanya...toka hapo kwenye comfort zone...
 
Jichanganye kwenye makongamano ya dini,chama,harusi na pia badili muonekano u must have to look smart,sexy + confidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…