Tatizo lako unawatafuta kama jinsi unavyofata mahitaji sokoni.Nipeni mbinu.
Jioni hii nimetoka kutafuta sijapata hata mmoja.
Napata shida na upweke, hapa usiku naona mrefu sana.
Utapata hitaji la moyo wako nna jamaa yangu sana this year anagota 33yrs mnashea changamoto moja. Tatizo lake hatak kutoka kwaoAsante sana mkuu.
Pole yako ina maana kubwa sana.
hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KULA NYETO TU
Una hakika siyo mke wa mtu?Mfano
Kuna huyo nimemuona anakuja upande wangu, alipokaribia nikamuita. Akanikaushia hata hakugeuka kunitazama.
Komaaa jombaaKutongoza sio tatizo. Tatizo nikupata hiyo nafasi ili nitongoze.