Natafuta ajira akiona replies za wanaume kwenye huu uzi atakua anashangaa sana.... Wanaume huwa wanawaona wanawaona wanawake kama lulu flani hivi, shobo flani za kiduwanzi sana.
Kumbe anajua analolitaka anasumbua watu aende tra posta awape namba wenye vitamin kama sio mfanyakaz atapata wafanyabiashara waliokuja kulipia mizigo au gari zao