usikae na kujifungia chumbani kwako mwenyewe kwa muda mrefu, njoo au nenda kajumuike na wengine pahali wako na mtapatana huko na wapweke wengine, na hilo tatizo la upweke litakua limepona kabisa kwasababu jawabu litakua limepatikana
na usijiweke so special than special itself, haya mambo hayanaga bingwa 🐒