Anza mahusiano na pesa..demu atakuja tu
Anza mahusiano na pesa..demu atakuja tu
ila ucsahau kujiunga na CHAPUTA
hiyo kitu ipo sana,haya maplayer wana watu wao wanaowapenda,wakiachwa wanaumia sana upweke mwingi
Sijui nikuache ili uexperience hilo balaa kidogo tu!