Upweke umenichosha!

nyamlega

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
38
Reaction score
6
Habari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni mawazo,nifanyeje?
 
Sahau yaliyopita anza maisha mapya
 
pole sana,anza maisha mapya Mtafute mwingine but be carefully
 
tafuta mwenza haraka iwezekanavyo la sivyo utakuwa chizi.
Nalog off
 
Habari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni mawazo,nifanyeje?

Kama hautojali tupe sababu za kuachana na mumeo
 
Habari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni mawazo,nifanyeje?

Mimi nimeowa juzi ila natafuta nyumba ndogo ya uhakika ila ukubali kupima ukimwi na mimi.kama uko tiari ni PM.
 
Pole sana.jaribu kusahau na kuendelea na mambo mengine.kwani ulizaliwa kuwa na huyo tuuu!😕
 
zimwii likujuwalo halikukuli likakumalizaaaaa....msamehe umrudie
 
Angalia historia yako mlivyokutana na mume wako the fanya chaguo sahihi, ni raha kuwa na mweza sahau ya nyuma angalia mbele, usimsahau mungu
 
ilikuwaje mkaachana? yaan ilishindikana kabisa kuendelea na mumeo!? duuuu!!
 
Kukimbia tatizo sio solution yatatizo.... Unaogopa kuumizwa tu?
 
zimwii likujuwalo halikukuli likakumalizaaaaa....msamehe umrudie

Aisee! wewe unafaa kuwa mke.wakati natafuta ulikuwa wapi jamani?? Kwa maana mimi makosa hayaishi ila uhakika wa kusamehewa ningekuwa nao!
 
Alafu wewe unaogopa wanaume wasio na kazi kama mimi wakati sisi ndio wanaume wazuri kwa ndoa?? Eti tunalala! hutaki tulale? tunalala na kila kitu mnatupa,ebo!
 
Last edited by a moderator:
They say stop worrying and start living......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…