Upuuzi wa Masoud Kipanya

Upuuzi wa Masoud Kipanya

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu! Upuuzi.jpg
 
Hiyo ni picha ianmaelezo mengi sana, so si upuzi ni ujembe mzito mkuu!
 
Msemakweli kipenzi cha Mungu.
 
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.

Hivi mkuu hizi dvd zinapatikana wapi,niliona jana tu anazungumzia juu ya hiyo kitu upuuzi wa masoud kipanya,ila hakutaj maeneo husika zinapopatikana hizo dvd,nataka niburudike na kuelimika pia
 
ha ha ha.. Msg sent hiyo.. Big up masudi..

safi sana kipanya nafahamu kuwa ukiona joka linaonekana mara kwa mara ujue karibu litauawa. Na ndio ilivyo kwa ccm kila kukicha inalalamikiwa ujue karibu inakufa
 
magamba wameepa sana lakini kuna mwisho. Kosa kusema watatawala daima na milele. KufURU mbaya.
 
tehe! tehe! tehe! masoud bwana labda wewe watakuelewa hawa viziwi maana maandishi hawajui kusoma na picha je? pull up!
 
Back
Top Bottom