Upuuzi wa blog inayosambaza Joining Instructions Feki

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
796
Pana blog moja inafomu za mwak Jana ni feki

Ni upuuzi kuweka files za zamani Na kubenefiti downloads

Nashauri wanaodownload fomu za kujiunga fv waachane na fomu za mtandaoni tena blog isiyo rasmi...

Jamaa wanadai ni Tamisemi what the hell...anapata watu wanatembelea blogs anawapa some things fake?
 
Back
Top Bottom