haule.scola
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 148
- 28
hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume au mwanamke nimoja ya hisia za msingi kwa mwanadamu wa kawaida kama ilivyo njaa au usingizi. kwaajili ya matatizo mbalimbali yaliyopo katika jamii, pamoja na kwamba tendo la ndoa ni jambo la msingi wa waliooana, kunawanaume au wanawake aidha hawana uwezo wakulifanya tendo hiliau wanahisia ndogo na nguvu kidogoza kutekeleza tendo hili.
kwakua hali ya kukosa hisia au nguvu za kufanya tendo la ndoa ni dhahili zaidi kwa wanaume, matatizo yanayo zungumziwa hapa chini ni zaidi kwa wanaume.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAWEZA KUGAWANYWA KATIKA MAKUNDI MATATU
1. uume kutoweza kudinda wakati wa tendo la ndoa au wakati mwingine wowote (uhanithi)
2. uume kuweza kudinda lakini kwasababu moja au nyingine kushindwa kukamilisha tendo la ndoa, ama uume kuwa hafifu au kunywea moja kwa moja
3. kadiri mwanaume anavyoingia katika umri mkubwa, nguvu zinaendelea kupungua na kufanya nguvu ya kutekeleza tendo la ndoa kupungua
BAADHI YA SABABU AMBAZO HULETELEZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI1. Msongo wa akili
2. uchovu wa mwili
3. ulevi kupita kiasi
4. ugonjwa wa kisukari
5. kupiga punyeto kwa mda mrefu
6. wasiwasi wa kutekeleza tendo la ndoa
7. uwonga wa kufanya tendo la ndoa
8. uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma
9. mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa n.k.
katika kusaidia kurekebisha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume, tiba zifuatazo husaidia pia kuwaweka wanawake waliopoa au wasiofurahia tendo la ndoa katika hali ya hamasa wakati wa tendo la ndoa.
MLONGE/NAZI
chukua nusu kikombe cha maua ya mlonge, ongeza kijiko kimoja cha chai cha vumbi la maua ya nazi. chemsha katika nusu lita ya maji kwa mda wa dakika kumi na tano, kutengeneza aina ya supu. chuja na baasa ya kupoa kila jioni kunywa nusu glasi saa moja kabla ya kwenda kulala. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja.
KITUNGUU MAJI/ASALI
Pondaponda kitunguu maji cheupe cha ukumbwa wa kati (gramu 50), kaanga ndani ya mafuta ya samli. baada ya kupoa, changanya na kijiko kimoja cha mezani cha asali. kula nusu saa kabla ya kwenda kulala. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja.
ZABIBU NYEUSI (BLACK RAISINS)
chukua zabibu kavu nyeusi (au unga) zioshe vizuri na maji ya moto. kula gramu 40 za zabibu ikifuatiwa na grasi moja ya maziwa. fanya hivyo mara tatu kwa siku. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja
TANGAWIZI AU ASALI
chukua nusu kijiko cha chai cha juisi au unga wa tangawizi changanya vizuri na kijiko komoja cha mezani cha asali kisha tumia pamoja na nusu yai lililo chemshwa kila jioni kabla ya kwenda kulala. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja
KAROTI
saga au pondaponda gramu 200 za karoti kisha ongeza nusu yai lililo chemshwa na kijiko kimoja cha mezani cha asali na uchanganye pamoja. kula nusu saa kabla ya kwenda kulala. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja
BAMIA/ASPARAGASI
Chukua gramu kumi za unga wa mizizi ya bamia changanya na gramu 15 za unga wa mizizi ya asparagasi, chemsha katika grasi moja ya maziwa kwa mda wa dakika 5. kunywa asubuhi na jioni saa moja kabla ya kwenda kulala. tiba hii ni nzuri hata kwa wale ambao ni ------- na wanaofikia kilele kwa mda mfupi. endelea na tiba hii kwa mda kwa mwezi mmoja
KITUNGUU SWAUMU/TANGAWIZI
Chukua punje sita za kitunguu swaumu changanya na tangawizi inayolingana kisha pondaponda kwa pamoja halafu chemsha katika maji ya grasi moja. chuja na ongeza kijiko kimoja cha mezani cha asali wakati maji yakiwa bado na joto, kunywa ikiwa bado ya vuguvugu kila jioni saa moja kabla ya kulala, tiba hii inafaa kujaribiwa hata kwawale ambao ni -------. endelea na tiba hii kwa mda wa mwezi mmoja
PILIPILI MANGA/LOZI (ALMONG)
pondaponda pilipili manga 6 pamoka na lozi 4 kisha tafuna polepole na kumeza, baada ya hapo kunywa grasi ,moja ya maziwa. endelea na tiba hii kwa mda wa miezi miwili. tiba hii inafaa hata kwa wale ambao ni -------
MLONGE
chukua gramu 100 za unga wa gome la mlonge kisha chemsha polepole katika maji nusu lita kwa mda wa nusu saa. chuja na pima kuona ni maji kiasi gani yamebakia, ongeza vijiko sita vya mezani vya asali kwa kila grasi moja au vijiko vitatu kwa kila nusu grasi ya dawa hiyo, kunywa vijiko vinne vya mchanganyiko huo mara tatu wa siku kwa mda wa miezi miwili. tiba hii inafaa kwavale ambao ni -------
MDALASINI/ASALI
chukua kijiko kimoja cha unga wa mdalasini, nusu kijiko cha unga wa tangawizi na vijiko viwili vya chai vya asali, changanya hadi iwe kama uji mzito, lamba polepole kabla ya kwenda kulala
SOURCE
KITABU CHA TUREJEE EDENI, TOLEO LA PILI
MWANDISHI WA KITABU DR. JETHTRO KLOOS