Upungufu wa nguvu za kiume(hanisi)


health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Wadau wanajamii bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Napenda kuwapa ufahamu wa namna ya kupambana na tatizo kama lilivyojieleza hapo kwenye kicha cha habari. Watu wengi wana tatizo na wanakuwa hawapati njia sahihi ya kupambana na tatizo. Hii hapa ndiyo njia sahii. Fuatilia maelezo haya kwa umakini. Yote haya ni muhimu kuondoa kabisa tatizo.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

 • Seamen cassie
 • Cassia bark
 • Mullberry leaver
 • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

 • Maji ya nyongo
 • Nguvu ya mwili(glucose)
 • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

 1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

 • Kupunguza uzito na unene
 • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
 • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
 • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
 • Kutoa sumu mwilini
 • Kutoa chunusi mwilini
 • Kutibu matatizo ya tumbo
WASIOPASWA KUTUMIA

 • Wajawazito
 • Wanaonyonyesha
 • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
 • Watoto chini ya miaka 14


REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
 • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
 • Kutibu maumivu ya kiuno
 • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
 • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
 • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
 • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
 • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
CA + FE + ZI PLUS

 • CA – Madini ya Chokaa
 • FE – Madini ya Chuma
 • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

 • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
 • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
 • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
 • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
 • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA

 • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
 • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
 • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
 • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

 • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
 • Inaimarisha milango ya fahamu
 • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
 • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
 • Inaondoa matatizo ya macho.
Yeyote mwenye swali/anayetaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za CA+FE+ZI Plus ni 51000/- Magilim ni 62500/- na REVIVE ni 60500/-
 

Attachments:

health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Mbona title na contents tofauti?
Title linahusika na contents King Kong III. Wewe inabidi usome kwa makini na mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kupata hizo products zote kwa kuliondoa.
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Hana jipya
Hud unataka kusema wewe unakosa swali lolote la kuuliza na kuishia kuandika tu hana jipya? Soma kwa makini kwa uelewa zaidi na lengo lifanikiwe la kusaidia wengine
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,156
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,156 2,000
Title linahusika na contents King Kong III. Wewe inabidi usome kwa makini na mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kupata hizo products zote kwa kuliondoa.
Du 173,000/= mkubwa mbona expensive sana? Kuna mtu anaweza ku-afford kweli? Kwanin msiweke product moja ambayo inatibu ilo ttzo au wewe ni mbadala wa Dr Ndodi na dawa zake za laki 5? Angalia na wewe usije kuangukia pua kama Dr Ndodi,punguza bei iwe kama elfu10 hivi reasonable price.
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Du 173,000/= mkubwa mbona expensive sana? Kuna mtu anaweza ku-afford kweli? Kwanin msiweke product moja ambayo inatibu ilo ttzo au wewe ni mbadala wa Dr Ndodi na dawa zake za laki 5? Angalia na wewe usije kuangukia pua kama Dr Ndodi,punguza bei iwe kama elfu10 hivi reasonable price.
Mimi sihitaji kumkashifu mtu yeyote hapa bwana King Kong III. Mimi nahitaji kumwelewesha mtu mwenye uhitaji ili aelewe na aweze kumpa mwenzake uelewa na kama kuna mtu mwenye tatizo aweze kupona. Processing inahitajika na materials zinahitajika, usafirishaji, kodi nk. Hiyo ni gharama ndogo sana kwa kuwezesha tu kumsaidia mtu mwenye uhitaji.
 
M

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Messages
375
Points
195
M

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2008
375 195
Gin-sen huu mmea unapatikana tanzania? wapi?
 
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Messages
940
Points
0
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2012
940 0
Matapeli wameshatugundua waswahili kwamba tunapenda na kuendekeza sana NGONO. Ndiyo maana kila kukicha wanaleta sokoni dawa yenye maelezo lukuki tena basi yanayolenga maeneo yaleyale tunayoyapenda.

Kwa ufupi ni kwamba hakuna njia ya uhakika ya kupata nguvu NZURI za kiume zaidi ya kuwa na afya njema inayotokana na ulaji mzuri wa chakula na ufanyaji mazoezi ya viungo, full stop. Njia zingine ni batili na in fact, zinaendeleza uharibifu wa afya ya mwanaume na hupunguza maisha including kupata ukimwi.
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,906
Points
1,500
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,906 1,500
Gin-sen huu mmea unapatikana tanzania? wapi?
Inapatikana nchi za asia haswa china, korea na baadhi ya maeneo yaliyo karibu na hizi nchi. Ni maarufu sana huo mumea!!
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Inapatikana nchi za asia haswa china, korea na baadhi ya maeneo yaliyo karibu na hizi nchi. Ni maarufu sana huo mumea!!
Nashukuru sana WA-UKENYENGE kwa kujibu hilo swali na ni jibu sahihi kabisa. Nilichelewa kuona hili swali ktk hii thread.
 
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
3,022
Points
2,000
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
3,022 2,000
Kinga ni bora kuliko tiba. Vijana acheni ngono leo mpate vinono baadae.
 1. Kuanza mapenzi na umri mdogo unaharibu misuli ya uume na matokeo yake itawahi kuchoka.
 2. Kwa taarifa yenu mwanaume anapata complete intense orgasm ambayo imekomaa na inaraha zote kuanzia miaka 25. Chini yaho ni partial orgasm.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,101
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,101 2,000
Du 173,000/= mkubwa mbona expensive sana? Kuna mtu anaweza ku-afford kweli? Kwanin msiweke product moja ambayo inatibu ilo ttzo au wewe ni mbadala wa Dr Ndodi na dawa zake za laki 5? Angalia na wewe usije kuangukia pua kama Dr Ndodi,punguza bei iwe kama elfu10 hivi reasonable price.
mkuu ukiwa na hilo tatizo utaiona ndogo sana...watu wameikia kujiua itakua kwa gharama hii?????any way wanasema watu wa uchumi kwamba usiangalie gharama ya pesa angalia faida ya kitu........
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
mkuu ukiwa na hilo tatizo utaiona ndogo sana...watu wameikia kujiua itakua kwa gharama hii?????any way wanasema watu wa uchumi kwamba usiangalie gharama ya pesa angalia faida ya kitu........
Afya ni muhimu sana kwa binadamu yeyote. Afya ikitetereka ndiyo mwanzo wa matatizo mengine kujitokeza. Napenda kuwaambia wanajamii hicho ni kiasi tu kinachowezesha huduma hii iendelee kuwepo kwa ajili yetu. Hakuna mwenye kupenda matatizo lakini kwa sababu yapo ni lazima tupambane kuondokana nayo.
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
327
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
327 170
Wanajamii mnakaribishwa kwa maswali na maoni zaidi
 

Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,823
Top