upungufu maziwa kwa mama anyenyonyesha

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
wakuu nisaidieni my wife anamaziwa machache hivyo chari hashibi ipasavyo je afanye nini ili maziwa yaongezeke mtoto ndo kwanza anamwezi na wk tatu na maziwa ya kopo siyataki.
 
Awe anakunywa liquid za kutosha. Sio lazima uji, hata maji mengi, chai, juice vinatosha.
 
Ajitahidi kula ndizi zilizopikwa kama anaweza pia kila mlo awe anakula na nyanya chungu, uji wa ulezi na supu (vikiwa vya moto) husaidia kustimulate uzalishaji wa maziwa, na asiwe mvivu wa kunyonyesha.
 
Ajitahidi kula ndizi zilizopikwa kama anaweza pia kila mlo awe anakula na nyanya chungu, uji wa ulezi na supu (vikiwa vya moto) husaidia kustimulate uzalishaji wa maziwa, na asiwe mvivu wa kunyonyesha.

hako kauvivu ndo hasa tunagombana kila siku. nimekupata mtu wangu
 
Ale vizuri na mlo uwe balanced.
Kabla ya kunyonyesha anywe glass ya juice/maziwa au uji mwembamba wa pilipili manga.
Apumzike vya kutosha.
Anyonyeshe kila baada ya masaa 2 au 3, kadri mtoto anavyonyonya ndivyo maziwa hutengenezwa........kila la kheri.
 
Mwambie ajaribu kula mapapai mabichi huwa naona wanaw3ake wengi wakitumia kuongeza maziwa nakuyasafisha maziwa, So jaribu hiyozen utaniambia.
 
Kuna jia flani hivi ni ya kienyeji, Nimekuwa nikiwaona wakina mama wanatumia ni mapapai mabichi kabisa ambayo bado hayajakomaa vizuri unaweza tumia hayo yanaweza kukusaidi,
 
Uji wa pilipili manga, mtori, ndizi za kupika, supu ya nyama. Atumie vyote asibezi kwenye aina moja ya mlo. Pia kunyonyesha marakwa mara ni muhimu sana. Hongera kwa kupata bebi.
 
Kuna vegetable inaitwa fenel
fenouil.jpg
Atumie kutengeneza supu, italeta ile initial supply, alafu anendelee na ushahuri hapo juu. Kama anaweza, awe anavuta maziwa kwa kutumia that special device. maziwa yanatoka kufatana na kiwango cha mtoto anavo nyonya but kama kiwango kipo chini mtoto anakua weak, na hanyonyi, and that fuels the downward spiral. Kwa kuanza anahitaji msaada kama fennel au kuvuta maziwa alafu mwili wenyewe uta balance.
 
Baada ya kufanya yote hayo uliyoshauriwa hapo juu, usisahu kunywa 'VALUU'. Inashusha sana maziwa ya mtoto.
 
Atumie mboga aina ya couliflower,brocoli na baby marrow,apunguze matumizi ya sukari na juice za artificial,asali ni nzuri zaidi badala ya sukari.Katika mboga anazokula aongeze unga wa karanga.
 
Back
Top Bottom