Ups and Downs katika kudai haki na uhuru

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela.

Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani.

Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea njiani na hata baina ya washirika. Lakini yote kheri, hasa adui rasmi anapokuwa tayari anafahamika vilivyo.

Kamanda Mbowe, kamanda Lissu na makamanda wote tumewasikia katika huu ukakasi wa kamati hii ya nani hii. Wengine japo kwa shingo upande tumekubali kulifunika kombe ili mwana kharamu ajipitie zake.

Hata hivyo ni muhimu mkatambua makamanda wetu, maamuzi batili batili haya dhidi ya haki na uhuru wetu hayatavumuliwa hivi siku zote.

Kama ilivyokuwa kwa vijana wa ANC ambao subira ilishafika mwisho, mmekuwa kama ilivyo kuwa kwa akina Chris Hani, Winnie, Cyril Ramaphosa na Mandela waliokuwa na uwezo pekee wa kuwatuliza vijana wale wakatulia japo kwa shingo upande.

Mbowe na Lissu mko na imani yetu.

Kukiri upungufu ni kitendo cha maendeleo:

Tulikuwa tayari kulianzisha kama walivyolileta.

Si kwa sababu ya udhalimu wetu bali katika kwa kupigania haki na uhuru wetu zinazozidi kukanyagwa katika hali isiyoweza kuvumilika.

Mbowe, Lissu msituangushe.

Hii iwafikie vilivyo wahusika wote.

Kuchezea haki na uhuru wetu ni kucheza na hewa tunayopumua.
 
Tanzania raia wote wako huru na wanapata haki zao kwa kujibu wa sheria. Mtu anayedhani Tanzania inahitaji kupigania uhuru ni mpumbavu.
 
Haki na uhuru ni relative kwa maana kuwa inategemea umesimama wapi. Utakuwa mpumbavu mno kutojua hilo. Hata mkoloni alikuwa akishangaa haki na uhuru upi kama unavyoshangaa mkoloni mweusi leo.

Wewe kama ni jiwe na unawanyima wenzio haki na uhuru wao hata haki tu za kufanya kampeni, kutumia vyombo vya habari, kuishi kama ilivyotokea kwa kina Lissu, Sanane, Azory na wengine. Au wewe ni majaliwa uliyehakikisha wapinzani wako wanaminywa vilivyo ili upite bila kupingwa, utaona kuna haja ya kupigania haki au uhuru wowote kweli mbinafsi mkubwa wewe?

Wewe ukiwa ni mnufaika wa uminywaji haki na uhuru huu utakuwa mpumbavu mno kudhani kuwa hiyo ndiyo haki na uhuru kwa wote na eti mnao waminya kuwa wanapaswa kuwa wanafurahia sana kwa vile wabinafsi nyie mnajiburudisha vilivyo kwa kuwaminya wao.
 
Tanzania raia wote wako huru na wanapata haki zao kwa kujibu wa sheria. Mtu anayedhani Tanzania inahitaji kupigania uhuru ni mpumbavu.
We ni MPUMBAVU TUU.
tapatalk_1601609543249.jpeg
 
Lissu safarini Kibaha kaza hapo hapo. Wengine tupo njiani kuongezeka hapo. Ikibidi watuulie hapo hapo.

Kama ilivyo kuwa kwa kampeni hatukupaswa kusitisha kampeni.

Hizi amri haramu tusikubaliane nazo.
 
Ajabu ni kwamba mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani yuko detained barabarani na polisi tangu asubuhi. Lakini hakuna chombo chochote cha habari ambacho kimeripoti hilo tukio. Hivi tunakwenda wapi?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela.

Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani.

Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea njiani na hata baina ya washirika. Lakini yote kheri, hasa adui rasmi anapokuwa tayari anafahamika vilivyo.

Kamanda Mbowe, kamanda Lissu na makamanda wote tumewasikia katika huu ukakasi wa kamati hii ya nani hii. Wengine japo kwa shingo upande tumekubali kulifunika kombe ili mwana kharamu ajipitie zake.

Hata hivyo ni muhimu mkatambua makamanda wetu, maamuzi batili batili haya dhidi ya haki na uhuru wetu hayatavumuliwa hivi siku zote.

Kama ilivyo kwa vijana wa ANC ambao subira ilishafika mwisho, mmekuwa kama ilivyo kuwa kwa akina Chris Hani, Winnie, Cyril Ramaphosa na Mandela waliokuwa na uwezo pekee wa kuwatuliza vijana wale wakatulia japo kwa shingo upande.

Mbowe na Lissu mko na imani yetu.

Kukiri upungufu ni kitendo cha maendeleo:

Tulikuwa tayari kulianzisha kama walivyolileta.

Si kwa sababu ya udhalimu wetu bali katika kwa kupigania haki na uhuru wetu zinazozidi kukanyagwa katika hali isiyoweza kuvumilika.

Mbowe, Lissu msituangushe.

Hii iwafikie vilivyo wahusika wote.

Kuchezea haki na uhuru wetu ni kucheza na hewa tunayopumua.
Umenena vema, natamani Watanzania wengi iwezekanavyo wajitambue.
 
Acheni urofa wenu, hao wote uliowasema ni wale waliotawala mataifa mengine sasa hapa Tanzania ni nani wa taifa lingine ambae antawala hapa tz na mnaemdai uhuru?
Nchi ilishakuwa huru muda mrefu ninyi labda mnataka uhuru wa kishoga.
 
Back
Top Bottom