tafuta mpya kakaAsante kaka nifanyake Nina Tecno Y6
Soma maelezo yake vizuri, amekuambia majukumu yanakaba. Anahitaji msaada kwa simu yake anayoitumia.Nunua simu mpya uende na wakati.
Moe mwongozoSoma maelezo yake vizuri, amekuambia majukumu yanakaba. Anahitaji msaada kwa simu yake anayoitumia.
pambana na majukumu tu mkuu,Kaka nimejikuta this time nikipata hela majukumu ni mengi kupitiliza na hii sim ilikua ipo poa na jelly bean ya android 4.4.2 now naona inazingua na sina hela ambayo ipo kama reserve
Hii inapanda mpaka Android 6 Marshmallow kwa custom rom! Tena ina custom rom moja nzuri sana ya MIUI V8.8.6 Stable yaani itaoneka umeinstall UI ya simu za Xiaomi na pia ipo ya ASUS ZENFUNE 2 UI nzuri pia.Tecno Y6