Phestor Makongoro
Member
- Jan 24, 2018
- 7
- 2
Salaam,,wan JF,,kumeibuka mtindo kwa baadhi ya watu wanojitambulisha waganga wa Jadi kuwatumia Ujumbe (SMS) Watu mbalmbali kuwatisha kwamba wamewategezea dawa za bahati,,ambapo siyo kweli ni mbinu mpya ya utapeli,Natoa rai kwa Chama cha Waganga na Tiba Asilia nchini kufuatilia jambo hili..