Upotoshwaji juu ya mama wa kambo

Ubarikiwe sana kwa kisa hicho. Na lengo la thread nikutambua mchango wa watu kama hawo.mana kila anaeongea kuhusu MAMA wa kambo anaongea negative ko kuna haja yakubadilisha mitazamo ya watu juu ya nafasi ya MAMAwa kambo katika jamii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kuna ambao wana roho zao nzuri, na Mungu awabariki sana akina mama wa aina hii. Na waliotangulia mbele za haki Mungu awarehemu.
 
Mkuu ulishaishi na mama wa kambo? Kama hujawahi ishi...basi usimalize maneno MKUU..... Siku zote binadamu tunajifunza,,,na hapa pia tunajifunza,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo ni bahat uliopewa katika kuishi kwako...
Bahati yako Sio nyangu,na yng Sio yako...
Nnamwaka wa 13 sina hata namba ya mamaangu wa kambo,hata Sim cjawah mpigia...
Na iko wazi kwake hadi kwa wanae ,na mzee wanaelewa shida ni nn...
Kwss ananiogopa kuliko corona Ila siwez lipa ubaya
Pia nachoshukurru sana, wanae wananipenda na kunifurahia sana...
Nawapenda sana Hawa ndugu zangu kuliko ata hao waliotuleta duniani...
 
Mkuu ulishaishi na mama wa kambo? Kama hujawahi ishi...basi usimalize maneno MKUU..... Siku zote binadamu tunajifunza,,,na hapa pia tunajifunza,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma uelewe. Hakuna niliposema kuwa mama wa kambo ni wazuri au wabaya. Nimesema tu tusipende kugeneralize mambo. Kisa mama mmoja ni mbaya basi haimaanishi kuwa wote ni wabaya.

Get the point.
 
Ameen. Mungu awabariki MAMA wa kambo wote walopanda mbegu za wema kwa watoto wasio wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,,sababu MADA ni ya mama wa kambo kwahyo nimeanza kwa mama wa kambo...ili kufupisha story..ni kweli baba alihamia pale kwa yule mama wa kambo lakini hakuwa mnyonge,,,alikuwa anapata sana pesa,,mpaka akaanza kutengeneza ile nyumba,,,,ikawa nyumba inatizamika,,mzee wngu alikuwa akifanya kazi hotel Fulani kubwa hapa DAR ya kitalii .sijuwi alipatwa na nini kuamua kuimalizia NYUMBA ya MWANAMKE... ila maisha ya mama wa kambo yalinifanya nipate akili ya KUTAFUTA MAPEMA SANA....na nimejifunza kutokukaa kwenye NYUMBA au chumba cha MWANAMKE..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ni kweli mkuu ndy maana story yngu nimelelewa na mama wa kambo 3 huyu wa mwisho ndy akanifundisha neno HALISI mama wa kambo.hao WENGINE hawakuwa na shida...
Mkuu soma uelewe. Hakuna niliposema kuwa mama wa kambo ni wazuri au wabaya. Nimesema tu tusipende kugeneralize mambo. Kisa mama mmoja ni mbaya basi haimaanishi kuwa wote ni wabaya.

Get the point.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee kweli kabisa mimi mpka huwa simuiti kabisa mama wa kambo na ona na mshushia hadhi na muita mama mlezi.Aliolewa na mzee kipindi nipo darasa la sita ofcourse alibadilisha mengi mnoo nikikaa poa taleta stori kamili nikisahau mnikumbushe tu
 
Sasa ukute mama wakambo hajabahatika kupata mtoto Mungu wangu hata afanye jema lipi utasikia unawalea hivyo unaujua uchungu wa kuzaa wewe[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wapo wengi wenye roho nzuri tuu, ila wale wenye roho mbaya ndo wamefanya wote waonekane wabaya!

Ila binafsi nimelelewa na mama wa kambo kwa muda, sijawahi jutia wala kuona ubaya wake! Nampenda naye ananipenda!
Huyo mama amelelewa na kukulia penye upendo basi! Una bahati sana kukutana na mama wa kambo aina hio! Wengine tumepata mama wa kambo wenye chuki na washirikina 😅😅😅 tunaishi nao kimachale tu!
 
Wanaume nao watulie tabia yakuzaa na kila mwanamke kisha unaoa mwingine waiache wao ndiyo chanzo cha mama wakambo, eg. Baba anaoa nakuacha wanawake 3,hapo alaumiwe baba kwanini hatulii na wanawake yeye ndiye chanzo cha kuzalisha mama wa kambo
 
Mdingi alituletea Hitler arrrgh, machungu yangu juu yake yalishagaisha ila ndo ukaribu haiwezekani, kwasasa ananiogopa mbayaaa,
 
Asee kweli kabisa mimi mpka huwa simuiti kabisa mama wa kambo na ona na mshushia hadhi na muita mama mlezi.Aliolewa na mzee kipindi nipo darasa la sita ofcourse alibadilisha mengi mnoo nikikaa poa taleta stori kamili nikisahau mnikumbushe tu
Mkuu bado tu hujatulia?
 
Umeeleza vyema sio kama wengine ambao maelezo yao nayafananisha na kisa cha hadithi moja ambapo vipofu wawili walibishana mmoja anasema tembo anafanana na ukuta kwa kuwa tu alimpapasa tembo katika ubavu na mwingine alisema tembo anafanana na ungo mkubwa kwa sababu alipapasa sikio.

Kwa ujumla wake mama wa kambo wengi sana pengine hata asilmia 90 ni wakatili sana kwa watoto ambao hawakuwazaa ; hao wachache sana wazuri ni isolated cases kama ilivyo kwa mama wazazi kuwa wakatili kwa watoto wao wenyewe.

Mambo ya research hata kama informal inataka uwe makini katika ku generalise sio busara kuchukua kisa kimoja tu na kukifanya ndio msimamo wa suala unalolizungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…