Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana!Ni Jambo la kusikitisha na kuhuzunisha sana pia lenye kumjaza mhusika hasira pale anapogundua kuwa aliowaamini kuwa watamsaidia katika kusimamia na kumshauri wameguka kuwa wadhalilishaji wa nafasi walizopewa!
Mh. Rais, baadhi ya wateule wako hawakupendi na au hawapendi style yako ya kiuongozi hivyo wameamua kwa makusudi kabisa Tena bila kujificha kukuchafua wewe binafsi na nafasi yako ya urais!
Ni juzi tu waziri wa usafirishaji pamoja na katibu mkuu wa habari ambaye pia ni msemaji wa serikali akiungwa mkono na mwenezi mkuu wa ccm waliamua kwa makusudi kabisa kuchapisha picha za ndege ambayo haijawahi kutua katika ardhi ya Africa tangu kuundwa kwake eti ilitua KIA ikiwa imebeba watalii!
Jambo hilo halikuwa sahihi kwani watanzania wasio wajinga walifuatilia na kubaini uongo wao kwani ndege Ile ilitoka Ujerumani na kutua Ugiriki na haikuwahi kutua Tanzania!
Nakukumbusha tu mh. Rais kuwa huu sio wakati wa kudanganyana kwani teknolojia inawabaini waongo kwa haraka! Na hili halijafanywa kwa bahati mbaya Bali wahusika wanakuchafua wakiwa conscious kabisa!
Hebu jitafakari na au uwatafakari Hawa wahusika juu ya udhalilishaji huu wa mamlaka uliyowakasimu Kama wanatosha kwani kauli yako ya, " watanzania sio wajinga" ikapate nafasi ya kusimamia katika uhalisia wake kwani binafsi sifurahishwi kuchafuliwa kwako!
a business plan without a strategy is just a dreamYote Tisa kumi, Tunaitaji kuona viwanda elfu Nne mlivyojenga bila kusahau, Mil 50 kila kijiji.
a business plan without a strategy is just a dream
Ni Jambo la kusikitisha na kuhuzunisha sana pia lenye kumjaza mhusika hasira pale anapogundua kuwa aliowaamini kuwa watamsaidia katika kusimamia na kumshauri wameguka kuwa wadhalilishaji wa nafasi walizopewa!
Mh. Rais, baadhi ya wateule wako hawakupendi na au hawapendi style yako ya kiuongozi hivyo wameamua kwa makusudi kabisa Tena bila kujificha kukuchafua wewe binafsi na nafasi yako ya urais!
Ni juzi tu Waziri wa Usafirishaji pamoja na katibu mkuu wa habari ambaye pia ni msemaji wa serikali akiungwa mkono na mwenezi mkuu wa CCM waliamua kwa makusudi kabisa kuchapisha picha za ndege ambayo haijawahi kutua katika ardhi ya Africa tangu kuundwa kwake; eti ilitua KIA ikiwa imebeba watalii!
Jambo hilo halikuwa sahihi kwani Watanzania wasio wajinga; walifuatilia na kubaini uongo wao kwani ndege Ile ilitoka Ujerumani na kutua Ugiriki na haikuwahi kutua Tanzania.
Nakukumbusha tu Mh. Rais kuwa huu sio wakati wa kudanganyana kwani teknolojia inawabaini waongo kwa haraka. Na hili halijafanywa kwa bahati mbaya, bali wahusika wanakuchafua wakiwa conscious kabisa!
Hebu jitafakari na au uwatafakari hawa wahusika juu ya udhalilishaji huu wa mamlaka uliyowakasimu kama wanatosha kwani kauli yako ya, " Watanzania sio wajinga" ikapate nafasi ya kusimamia katika uhalisia wake kwani binafsi sifurahishwi kuchafuliwa kwako.
Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana!
Dege lilikuwa linavinjari mitaa ya KIA. Ngoja nikamuulize Hassan lilielekea mitaa gani maana halikuonekana likipaa. Inaweza kuwa lilienda jimboni kwa Mbowe kupambana na Chadema
Mwaka huu kwenye kampen I Mr Push ups sijui atawaambia nini WatanzaniaYote Tisa kumi, Tunaitaji kuona viwanda elfu Nne mlivyojenga bila kusahau, Mil 50 kila kijiji.
Maana yako ni ipi? Na hili la Msigwa linalandanaje na hoja yangu?Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana!
Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza!Kwahiyo na nyinyi mnaamua kuwaongopea watanzania eti ndege imeleta watalii wakati mmeokoteza vipicha mitandaoni?
Dunia ya sasa kila kitu ni technology, hakuna kuchapia chapia
In God we Trust
Kampeni yake ni rahisi tu. Anachohitaji ni kuonyesha aliyoyafanya, kama mazuri anapata kura kama mabayo huenda asipate zote. Ila CHADEMA ndiyo haitapata kitu. Haina cha kuonyesha katika miaka mitano isipokuwa migomo midogo midogo bungeni kama ya watoto wa shule wa sekondari. Hao wabunge ndiyo wasahau kabisa,badala ya kuwawakilisha wanachi waliyowachagua wameamuwa kumsujudu Mbowe kwa kugoma kuwawakilisha wananchi wao bungeni. Kura yangu simpi mtu kama huyu.Mwaka huu kwenye kampen I Mr Push ups sijui atawaambia nini Watanzania
Wana uso wa.mbuzi hao, hawaoni aibu.Dege la mitandaoni, aibu kubwa sana kwa Waziri na polepole
In God we Trust