Upotoshaji wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)

Upotoshaji wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)

ndivyo ilivyotakiwa kuwa tangu kuanzishwa kwake. kwanza ni makosa makubwa kuchomeka jina 'Tanzania' kwenye vikundi vya chama vinavyotetea maslahi ya wanachama wao tu. Tangu kuanzishwa kwake umoja huu ulipaswa kuitwa UWCCM. Kwa kuwa jina la umoja huu ni batili, na shughuli zake zote ni batili. Hakina tofauti na kikundi chochote kile cha kigaidi kama vile Boko Haram, Alshaabab, Intarahamwe, etc.

wakati mwingine unaweza kuwa na mawazo mazuri mwishoni ukaonyesha nikiasi gani kitu cha arusha au viroba vimekukaa kichwani..shame on u!
 
Chama cha Sofia simba tena kiko Dar mwanamke kule shirati Rorya anakijua wapi ??
 
kuna watu wengine ni kuongeza idadi ya uzi tu ndicho wanachofikiria wao mara tu waamkapo asubuhi.

kuna huoni hoja ya kujadili katika uzi huu kwa kuwa mmezoea vya kunyonga, unaruhusiwa kupitia comments za wengine bila kuchangia and off you go.
 
wakati mwingine unaweza kuwa na mawazo mazuri mwishoni ukaonyesha nikiasi gani kitu cha arusha au viroba vimekukaa kichwani..shame on u!

akili zako ndivyo zinavyokutuma? notorious twit!
 
Back
Top Bottom