Upotoshaji wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
26,021
Reaction score
25,423
Tangu zamani Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) umekuwa ukijiita Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kana kwamba wanawake wote nchini Tanzania ni wanachama wa umoja huo.

Imefika wakati sasa matumizi ya jina hili yasitishwe kwani linawapotosha na kuwavuruga wanawake wa Tanzania, hasa wale wa vijijini ambao hawana elimu ya uraia ya kutosha.

Kila chama cha siasa sasa kina umoja wa wanawake kama vile CHADEMA (BAWACHA), CUF (BAWAC), nk. Sio sahihi UWCCM kuendelea kutumia jina la UWT kinyume na maudhumuni ya umoja huo. Mbona UVCCM haiitwi UVT?

UWT ni chama kinachotetea maslahi ya kikundi kidogo cha wanachama ndani ya CCM na sio Tanzania nzima kama jina lake linavyosomeka. Hivyo basi matumizi ya jina la UWT ni batili na upotoshaji wa makusudi.

Umoja unaotetea maslahi ya mafisadi wachache ndani ya nchi hawawezi kujidai kujitwika maslahi ya wanawake wote nchini wakati hawafanyi hivyo. Acheni kutenda kazi kwa misingi ya kilaghai huku mkiwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nawasilisha.

:israel:
 
Na wametumia jina hilo mieka nenda rudi. Tangu kuanza kwa vyama vingi jina hilo lilitakiwa libadilike.
 
samba mba na hilo pia mali zote za ccm zilizopatikana kabla ya mfumo ws vyama vingi zitaifishwe kwani zilijengwa na kodi ya watz wote
 
Tangu zamani Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) umekuwa ukijiita Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kana kwamba wanawake wote nchini Tanzania ni wanachama wa umoja huo. Imefika wakati sasa matumizi ya jina hili yasitishwe kwani linawapotosha na kuwavuruga wanawake wa Tanzania, hasa wale wa vijijini ambao hawana elimu ya uraia ya kutosha.

Wanachanganyikiwa nini? Kama Cdm watabaki huko, CCM endeleeni msiwasikilize mavuvuzela ya cdm
 
Na wametumia jina hilo mieka nenda rudi. Tangu kuanza kwa vyama vingi jina hilo lilitakiwa libadilike.

ndivyo ilivyotakiwa kuwa tangu kuanzishwa kwake. kwanza ni makosa makubwa kuchomeka jina 'Tanzania' kwenye vikundi vya chama vinavyotetea maslahi ya wanachama wao tu. Tangu kuanzishwa kwake umoja huu ulipaswa kuitwa UWCCM. Kwa kuwa jina la umoja huu ni batili, na shughuli zake zote ni batili. Hakina tofauti na kikundi chochote kile cha kigaidi kama vile Boko Haram, Alshaabab, Intarahamwe, etc.
 
Na wametumia jina hilo mieka nenda rudi. Tangu kuanza kwa vyama vingi jina hilo lilitakiwa libadilike.
Wanaokerwa na jina hilo hawajitambui. CCM wanakosa gani
 
Sawa kabisa Mkuu tpaul, hoja yako ina mashiko. Nafikiri ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ingefaa irekebishe hili.
Kuna watu lakini humu jamvini hutumia abbreviation hiyo kwa maana ya Usalama Wa Temeke sijui Tandale, I'm not sure.
 
ndivyo ilivyotakiwa kuwa kuanzishwa kwake. kwanza ni makosa makubwa kuchozmeka jina 'Tanzania' kwenye vikundi vya chama vinavyotetea maslahi ya wanachama wao tu. Tangu kuanzishwa kwake umoja huu ulipaswa kuitwa UWCCM. Kwa kuwa jina la umoja huu ni batili, na shughuli zake zote ni batili. Hakina tofauti na kikundi chochote kile cha kigaidi.
Mama akizaa mtoto habadili jina, mtoto ndo anapewa jina jipya au kama vipi naye atumie jina la mama
 
Sawa kabisa Mkuu tpaul, hoja yako ina mashiko. Nafikiri ofisi ya Msajili wa Vyamga vya Siasa ingefaa irekebishe hili.
Kuna watu lakini humu jamvini hutumia abbreviation hiyo kwa maana ya Usalama Wa Temeke sijui Tandale, I'm not sure.

UWT siyo chama cha siasa, msajili hana mamlaka ya kufanya lolote
 
Hii ni laana inayowatafuna, kuwafanya wanawake wa Tanzania kuwa mtaji wa kuwaweka mafisadi madarakani, kwa kisingizio ni umoja wa wanawake Tanzania kupigania haki zao, kumbe unafiki mtupu, ndio maana lichama lao linayumba siku hadi siku, saizi vijana tulioelimika tunapiga kampeni kuwaelimisha mama zetu kujiunga na BAWACHA, viitikio vinavyoimbwa saizi ni PEOPLES POWER, yaani nguvu ya umma.
 
samba mba na hilo pia mali zote za ccm zilizopatikana kabla ya mfumo ws vyama vingi zitaifishwe kwani zilijengwa na kodi ya watz wote

ni kweli kabisa. mali zote (ardhi, viwanja vya mpira, majengo, samani, magarh, etc) vilipaswa kutaifishwa tangu 1992 na kurejeshwa kwa wamiliki halali (wananchi). Kuna watu walikatwa kodi na wakulima kukatwa malipo ya mazao ya kilimo kujenga miundombinu hiyo lakini CCM kama kawaida yake wametaifisha mali hizo za wananchi ambazo kwa sasa zinafaidiwa na mafisadi wachache wa CCM. UKAWA wakiingia madarakani mwaka ujao watarejesha mali hizo kwa wananchi.
 
Mkuu tpaul naungana na wewe kukemea utapeli huu wa uwt hasa nikikumbuka maumivu tuliyoyapata huko nyuma......Watu tulichangishwa kwa lazima kuchangia kile kilichoitwa SHULE ZA WAZAZI ZA SECONDARY watu walifungwa kuchapwa bakora hadharani kuchangia SHULE hizi

Lakini cha ajabu Leo iti zinaitwa shule za CCM huu ni uhuni usio na haya watu tulichangishwa bila kujali huyu ni ccm,cdm,cuf wala nccr leo tunaambiwa eti ni shule za wazazi wa ccm??? Ujinga ulioje kwanini huko mwanzo hawakuweka wazi kwamba tunachangia pesa/nguvu zetu kujenga hizi shule, na badala yake eanakuja kuyasema haya hii leo??

Maccm uhuni mliotufanyia wananchi upo ukingoni tutarudisha kila jengo,ofisi au viwanja vilivyotumia nguvu za wananchi wote bila kujali uchama wao mikononi mwa wananchi wenyewe kupitia mashirika ya umma HII HAIKUBARIKI...

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

CCM inatekeleza ilani, nyie lalameni kama kuku anayetaka kutaga wananchi wameshawashtukia
 
Last edited by a moderator:
Tangu zamani Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) umekuwa ukijiita Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kana kwamba wanawake wote nchini Tanzania ni wanachama wa umoja huo. Imefika wakati sasa matumizi ya jina hili yasitishwe kwani linawapotosha na kuwavuruga wanawake wa Tanzania, hasa wale wa vijijini ambao hawana elimu ya uraia ya kutosha.

Kila chama cha siasa sasa kina umoja wa wanawake kama vile CHADEMA (BAWACHA), CUF (BAWAC), nk. Sio sahihi UWCCM kuendelea kutumia jina la UWT kinyume na maudhumuni ya umoja huo. Mbona UVCCM haiitwi UVT?

UWT ni chama kinachotetea maslahi ya kikundi kidogo cha wanachama ndani ya CCM na sio Tanzania nzima kama jina lake linavyosomeka. Hivyo basi matumizi ya jina la UWT ni batili na upotoshaji wa makusudi.

Umoja unaotetea maslahi ya mafisadi wachache ndani ya nchi hawawezi kujidai kujitwika maslahi ya wanawake wote nchini wakati hawafanyi hivyo. Acheni kutenda kazi kwa misingi ya kilaghai huku mkiwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nawasilisha.

:israel:[/QUOTE HIVI NYIE CDM MNAJIJUA KUWA MMCHANGANYIKIWA MNAHITAJI USHAURI NASAHA.AU ANAYECHANGANYIKIWA HAJIJUI
 
Sawa kabisa Mkuu tpaul, hoja yako ina mashiko. Nafikiri ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ingefaa irekebishe hili.
Kuna watu lakini humu jamvini hutumia abbreviation hiyo kwa maana ya Usalama Wa Temeke sijui Tandale, I'm not sure.

mkuu, huu umoja umekuwa ukijiendesha kwa jina batili tangu kuanzishwa kwake; na kwa maana hiyo hata kazi zake ni batili pia. Ngoja waje akina msalani, simiyu yetu, lusungo, et al, watupambanulie vizuri kuhusu ubatili huu.
 
Mama akizaa mtoto habadili jina, mtoto ndo anapewa jina jipya au kama vipi naye atumie jina la mama

una maana gani hapa? kwa hiyo unataka kutuambia kwamba wanawake wote nchini ni wanachama wa UWT?
 
CCM inatekeleza ilani, nyie lalameni kama kuku anayetaka kutaga wananchi wameshawashtukia

......na UWCCM inatekeleza ilani gani? Halafu suala la CCM linakujaje hapa? Kwanini unataka kupenyeza hoja ya uchama katika hii mada? Tunazungumzia UWCCM, sio CCM! Umeelewa?
 
Tangu zamani Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) umekuwa ukijiita Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kana kwamba wanawake wote nchini Tanzania ni wanachama wa umoja huo. Imefika wakati sasa matumizi ya jina hili yasitishwe kwani linawapotosha na kuwavuruga wanawake wa Tanzania, hasa wale wa vijijini ambao hawana elimu ya uraia ya kutosha.

Kila chama cha siasa sasa kina umoja wa wanawake kama vile CHADEMA (BAWACHA), CUF (BAWAC), nk. Sio sahihi UWCCM kuendelea kutumia jina la UWT kinyume na maudhumuni ya umoja huo. Mbona UVCCM haiitwi UVT?

UWT ni chama kinachotetea maslahi ya kikundi kidogo cha wanachama ndani ya CCM na sio Tanzania nzima kama jina lake linavyosomeka. Hivyo basi matumizi ya jina la UWT ni batili na upotoshaji wa makusudi.

Umoja unaotetea maslahi ya mafisadi wachache ndani ya nchi hawawezi kujidai kujitwika maslahi ya wanawake wote nchini wakati hawafanyi hivyo. Acheni kutenda kazi kwa misingi ya kilaghai huku mkiwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nawasilisha.

:israel:

kuna watu wengine ni kuongeza idadi ya uzi tu ndicho wanachofikiria wao mara tu waamkapo asubuhi.
 
Back
Top Bottom