Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

Wewe ni MPUMBAVU, umeangalia video ya Robert Amsterdam YouTube aliyoitoa juzi anaitishia tume ya uchaguzi?.. najua mna mahaba na huyo KENGE wenu Lissu ila nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.
NAona msumari umekuingia vizuri sana. 🤣🤣🤣🤣😃😃😃
 
Watanzania tuamke usingizini, wenzetu wanachokipigania ni maslahi yao na familia zao. Wanaona ujio wa Lissu ni tishio kwao na kwamba akishinda madhambi yao yatawekwa wazi ndio maana wanapigana kufa na kupona kumzuia asishinde ili kulinda madhambi yao.
Mkuu natamani watanzania wote wayazingatie haya.

Lakini IPO siku ya ukombozi waja
 
Uwe wa kwanza kustuka iwapo amani itavurugika kwa kauli zake Lissu ambaye anatumia muda wake mwingi wa kampeni kumshambulia Rais na M/Kiti wa chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vyote, hata vikiunganisha wanachama wao.

Uwe wa kwanza kustuka ukitambua kuwa madai dhidi ya Tume kutokumtendea haki, kwenye kampeni zake, ni ujumbe tosha kwa wapiga kura kujiandaa kwa vurugu.

Uwe wa kwanza kustuka ukitambua kuwa nyuma ya jeuri, majivuno na kujiona bora kuliko Mtanzania yeyote, ni mkataba wa ahadi alioingia na wafadhiri wake Ulaya kiasi cha kumudu kuweka Wakili wa gharama kubwa badala ya mawakili wa ndani wakati yeye aliwahi kuwa Rais wa Chama cha Mawakili nchini (TLS).
 
Tuliaaa wewe Tume kama sio huru mliingia Kugombea ili iweje mnajua hamtashinda ndio maana mnalopoka lopokaa ovyoo
 
Lissu katumwa na Mabeberu na wewe mtoa post umetumwa na Lissu!
Mabeberu hao ndiyo CCM iliwapa mgodi wa Williamson diamond Mwadui Shinyanga,Buzwagi na migodi yote ya dhahabu nchi hii kila mkataba ni serikali hii ya CCM iliingia na mabeberu hakuna hata mgodi mmoja unaomiliwa na wananchi au Serikali kati ya CCM na Lissu nani aliewagawia rasilimali za nchi mabeberu?
Au ni lini CHADEMA walitawala nchi hii acheni upotishaji mmeshagawa kila kitu CCM imebaki kutetewa na watu wajinga kabisa wasiojielewa au wanaotafuta kushibisha matumbo yao.
 
Ww pimbi unapangia watanzania wooote?!
Kashawishi ukoo wako wote, wilaya yako hata mkoa wote wampigie kura Lissu Ila nakuhakikishia Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.
NAona msumari umekuingia vizuri sana. 🤣🤣🤣🤣😃😃😃
Ndo nini hiki ulichoandika!?
 
Hivi hu ujinga mnaandikaga mkiwa kwenye hall ukimjibu lisu unalipwa hapohapo holini?
 
Kauli ya kusema Lisu ametumwa na Mabeberu ni kufilisika kisiasa.Hii inchi yenyewe Kila kitu mnategemea Wazungu mpaka madini mnachimbiwa na Wazungu,sahv mnajikuta mnawaita mabeberu.CcM Tafuteni Hoja za Maana otherwise hamna jipya#Oct.28 kampeni delete CCM#Delete.
 
Uchaguzi huu CHADEMA wameshashindwa kwa mara nyingine. Wajipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
 
Back
Top Bottom