crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
"heri wapatanishi maana hao watauona ufalme wa Mungu"Tunakoelekea Diamond anaweza kutooga mwaka na kuanza kunuka lakini kuna mtu atasema ni Cologne/Perfume hiyo ametumia
Acha lawama kijana mbona unatoka nje ya mada.Tunakoelekea Diamond anaweza kutooga mwaka na kuanza kunuka lakini kuna mtu atasema ni Cologne/Perfume hiyo ametumia
Hapa hatutetei ila tunaongea fact na logic tu, sawa bwana mdogo.
Mistari halisi ya wimbo wa Diamond inasema
"Wewe ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."
mi nimewaelewa,rudi tena ule uzi mtoa mada kasemaKama hukuwaelewa, wanachobishania ni hayo maneno 5 hapo
inaonekana upo mweupe sana kwenye dini.Lini yesu alimuacha petro
That's wrong
Petro ndiye aliyemkana yesu
Usimtetee jamaa kazingua
ndio nakwambia hajakosea. Kama umeelewa nilichosema, nadhani utafuta comment yako hapa.Hata angemtukana atajipa laana mwenyewe
Ukristo umejengwa katika misingi ya waabuduo katika roho na kweli ndio wata urithi ufalme wa Mungu.
Hakuna mkiristo wa kweli ataanzisha vita ya kumtetea Kristo masiha maana Nguvu na uweza una yeye Kristo akiona kuna kosa diamond kafanya atajua nini amfanye!
Mungu wetu ni Mungu wa upendo kama Diamond kakosea amsamehe hajui atendalo.
Mpumbavu umekuja kumtetea mpumbavu mwenzio humu unadhani utapata huruma? Yesu afananishwe na demu wa diamond wa kufikirika halafu iwe sawa? Diamond ni Muislamu haya mafundisho ya Yesu na Petro kuyapeleka kwenye mapenzi amefundishwa na nani? Yesu na Petro walikuwa wapenzi?Kuna uzi wa kupotosha umefunguliwa ukilenga kupotosha watu dhidi ya wimbo wa msanii Diamond uliotolewa hivi karibuni na naona unazidi kupata umaarufu mkubwa hapa jukwaani.
Na wachangiaji wake wengi wameonekana kusapoti uzi huu bila kuthibitisha hali inayosababisha kuchafua image ya Msanii Diamond mbele ya jamii bila sababu za msingi.
Mistari halisi ya wimbo wa Diamond inasema
"Wewe ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."
akifananisha kitendo cha yeye kuachwa sawa na yesu alivyo muacha petro
yaani main theme hapo ni kuachwa.
Lakini mtoa mada ameamua kutoa neno petro ili kuhalalisha upotoshaji.
Hakuna kosa lolote hapo kifasihi zaidi tu tuseme kijana katumia ubunifu.
Wana jf tuwe makini tunapoanzisha na kuchangia uzi tusiwachafue watu mbele ya jamii bila sababu ya msingi.
Huu kweli Msukule.Misukule bana
Hoja yao kwa nini atumie mfano wa Yesu?mi nimewaelewa,rudi tena ule uzi mtoa mada kasema
"..we ndio wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe..."
Ila Diamond kasema
"...we ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."
Karuka neno petro ili kuhalalisha upotoshaji na kumchafua bwana mdogo.
Huoni utofauti mkubwa wa kimaudhui hapo???
Kama uzi utaachwa utembee,utamchafua bwana mdogo mbele ya jamii ya kikristo bila sababu ya msingi.
"... wewe ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."Hoja yao kwa nini atumie mfano wa Yesu?
Wangetaka aseme "We ndio mama dangote wangu mkombozi...."
kitu kama hicho!
Tunakubaliana hapo kwenye huo mfano wa Yesu anazungumzia pisi. Kwa kwenye kichupa hiyo pisi inaweza kuwa nusu uchi...Anyway, acha wenyewe watetee hoja zao"... wewe ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."
Hebu niambie umeelewa nini hapo??? Ndio maana Diamond hakuishia kusema
"... wewendio wangu yesu mkombozi."
Halafu pia kama alimaanisha hivyo mtoa mada, kwa nini aliruka neno petro??? Ule ni uchonganishi bro.
"... wewe ndio wangu yesu mkombozi sa mbona petro unaniacha mwenyewe..."Tunakubaliana hapo kwenye huo mfano wa Yesu anazungumzia pisi. Kwa kwenye kichupa hiyo pisi inaweza kuwa nusu uchi...Anyway, acha wenyewe watetee hoja zao