UPOTEVU WA MAPATO KWENYE VILEO

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
1,651
3,815
Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kwenye vileo hii inatokana na ufuatiliaji hafifu. Katika upotevu huu mawakala ndiyo chanzo kutokana na ;
1.kutokutoa risiti halali zinazoenda na thamani ya bidhaa

2. Wamekua wakitoa visingizio kuwa mtandao unasumbua hivyo hawawezi toa risiti za electronic

3. Wamekua na vyombo vingi vya kusambazia bidhaa zao kama magari na toyo vyote hivi havina mashine za mapato.

4. Pindi wakamatwapo huishia kutoa rushwa kwa baadhi ya maofisa wasio waaminifu na kuachiwa.

Kwa ufuatiliaji katika hili haiitajiki kuwa na degree. TRA wangejaribu kufuatilia mzigo anaochukua wakala na kiwango cha kodi alichotoa kwa mwezi.
 
Kwenye madini mmeshamaliza?
 
Back
Top Bottom